ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Nimeweka Chelsea asipate goli hata moja, nimetia elfu 60.. nalala nikiamka nataka nione muamala wa M-Pesa umesoma.
Duuu elfu sitini bora ungewapa watoto wenye uhitaji mkuu.
Au ungepeleka hospitali kwa ajili ya kupambana na Covid 19 ungeonekana wa maana



