Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndiyo kawaida ya hizo app za live football. Huja na kupotea; Burma Tv, Mobdro, nk

Tumia website ya "hesgoal"

Iko fresh, mechi zote. Ni wewe tu na bando lako.
Hesgoal.com
Screenshot_20210301-115737.jpg
 
Chelsea wanaweza kurudi kwenye ufungaji kama zamani endapo kocha ataijenga timu kwenye counter attacks, wachjezaji wengi wa mbele yaani forwards huwa ni wazuri kama timu nzima ina uwezo mkubwa wa kung'amua timing nzuri ya kuatack na kuwa na uwezo wa ku-counter.

Jukumu la kung'amua na kufanya counter ni la kila mchezaji kuanzia kipa hadi washambuliaji wenyewe.

Mifano
  1. Goli la Mo Salah dhidi ya Manure msimu nuliopita wa 2019/20 aliweza kufunga baada ya Alisson kuwaona mabeki wa Manure wamezubaa akampigia direct na akafunga goli zuri
  2. Lingine ni goli la Gundogan dhidi ya Spurs, move ilianzishwa na Ederson, Kipa
  3. Mabeki nao na wachezaji wa kwenye kiungo wanalo jukumu la kung'amua timing nzuri ya kufanya counter na kuzaa magoli, Fabregas alifanikiwa sana wakati wa Mou na Conte kwa sababu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuanzisha hizo move kwa haraka
Wachezaji Chelsea waliofaidi kwenye mifumo ya Counter
  1. Tores, lile goli la Camp Nou mpira ulitoka kwa beki wa Chelsea moja kwa moja kwa Tores na kutuwezesha kwenda fainali za UEFA 2012
Faida kwa timu
Timu ya Leicester City ambayo haikutegemewa kubeba EPL mwaka 2016 iliweza kufanya hivyo na timua ya kawaida tu lakini iliyoandaliwa katika huo mfumo

Wachezaji wa Chelsea kwa sasa wanaofaa kwenye philosofia hiyo ya counter
  1. Wa kwanza ni Kante, uwezo wake mkubwa wa kuintercept mipira na kukaba unazifanya timu pinzani zishtukie zimeacha space za hatari kwenye final third yao
  2. Wa pili Werner. Kwa sababu ya speed kubwa aliyonayo Werner anaweza kugeuka kuwa mfungaji bora EPL kama kocha atawajenga hao wachezaji kuweza kutumia vyema fursa za Counter zikijitokeza na huwa zinajitokeza kila mara ila utaona Kante kablock vizuri mpira akimpasia Alonso utashangaa alonso anarudisha kwa Rudiger nyuma kabisa naye Rudiger aidha ampe Mendy au Silva au Zouma
  3. Odoi. Kwa sababu ya kasi yake Odoi ni mzuri sana kwenye mfumo huu wa kushambulia kwa kushtukiza
  4. Mason Mount, uwezo wake wa kukaba na kupeleka pasi zilizoenda shule mbele ni muhimu sana kwenye mfumo wa counter
  5. Ziyech. Ni mzuri akirudi kwenye form kwa sababu ya uwezo wake wa kupasia mfungaji aliye kwenye golden position na pia anatoa cross nzuri kama reece james na pia anaweza kufunga mwenyewe
  6. Reece James, uwezo wake wa kuamba na mpira pembeni na kutoa cross nzuri nao unamfanya afae kwenye huu mfumo
  7. Ben Chillwell, hiki kizazi cha Leicester city wamebobea kwenye mashabulizi ya counter
  8. Billy Gilmour, kwa mechi chache alizocheza Billy ni mzuri sana kwenye kukata umeme na kupel;eka mashambulzii ya kushtukiza kwa washambuliaji, huo uwezo anao
  9. Silva, sihitaji kumuelezea sana, kuanzia PSG na sasa akiwa Chelsea, Silva ni aina ya akina Luiz ambao wanao uwezo wa long ball na kusababisha counter langoni mwa wapinzani
  10. Olivier Giroud, akipelekewa mipira ya counter kutoka kushoto, kati au kulia anao uwezo wa kufunga kwa kichwa au miguu kuliko Tammy Braham
  11. Andreas Christensen. Naye anao uwezo kidogo akizoeshwa anaweza kuwa mbobezi kwenye counter
  12. Havertz. Ni mzuri kwenye kufunga kwa kichwa na pia intelligent dribbling, passing and goal scoring. Tatizo lake bado hajajenga stamina ya EPL, na pia asipocheza one touch mara nyingi anapoteza mipira
Wachezaji wasiofaa kwenye huu mfumo wa kushambulia kwa kushtukiza japo kocha akisisitiza huu mfumo na kuwaamuru kuutumia wanaweza ni
  1. Jorginho , alishawahi kufanya kwa Tammy Abraham
  2. Kovacic. Anaweza kupeleka mipira mbele vizuri ila huwa anajisahau akifika kwenye nafasi nzuri za kufunga hakumbuki kupasia mfungaji aliye kwenye position nzuri au yeye akijaribu huwa anapaiza
  3. Tammy Abraham. Ajifunze kutoremba mipira ya final third kwa wapinzani, mfano kwenye mechi na Southamptom, Tammy aliremba mpira mpaka akanyang'anywa na yeye kuumia
 
Ngoja tuanze kubashiri msimamo wa mwisho wa ligi kuu ya Uingereza. Najuma mashabiki wa Liverpool watakuja kuukandia utabiri wangu huu ila tatizo la kubashiri ndio hii. Sayansi imetumika kulingana na uwezo wa timu kwa mechi zilizopita na uwezo wa kuokota points kwenye mechi zilizobaki, timu zingine zina mechi hadi 14 mfano Aston Villa, nyingi zimebakiza mechi 12 tu.
Bingwa wa FA akitokea top 6 Westham atacheza Europa mwakani na endapo FA na Bingwa wa UEFA au Europa atatokea kwenye top 6 basi na Aston Villa atacheza Europa mwakani
1614656492482.png
 
Havertz is a tall and elegant footballer with top-level technical quality, as well as excellent football IQ and tactical awareness. Not only is he a great player in the traditional senses, he is also consistent, disciplined, and rarely injured. The foundation of his game is his off-ball ability.
 
Chelsea tunapewa penalti, Man city wanapewa penalti lakini hata bila kupewa penalti wanashinda lakini Manure bila penalti kupitia Penandez hawawezi kushinda na ndio maana kwenye big matches zote wametoa draw ya 0.0 kwa Spurs wakafungwa 6-1
Kocha wao OGS naye anaelekea kuleweshwa na hizo penalti za kupewa na ndio maana baada ya juzi kunyimwa penalti na kocha na VAR amebakia kwenye media akikandia na kuikandia website ya Chelsea kwamba eti ilitumika kumuinfluence refa asiwape penalti Maniure

"It's all these outside influences, it's cheeky when they put that on their website, that's influencing the referees. You can read it."

Ole Gunnar Solskjaer vents his frustrations about the penalty that wasn't given pic.twitter.com/7YK22ja6Oo

— Football Daily (@footballdaily) February 28, 2021
 
Chelsea tunapewa penalti, Man city wanapewa penalti lakini hata bila kupewa penalti wanashinda lakini Manure bila penalti kupitia Penandez hawawezi kushinda na ndio maana kwenye big matches zote wametoa draw ya 0.0 kwa Spurs wakafungwa 6-1
Kocha wao OGS naye anaelekea kuleweshwa na hizo penalti za kupewa na ndio maana baada ya juzi kunyimwa penalti na kocha na VAR amebakia kwenye media akikandia na kuikandia website ya Chelsea kwamba eti ilitumika kumuinfluence refa asiwape penalti Maniure

"It's all these outside influences, it's cheeky when they put that on their website, that's influencing the referees. You can read it."

Ole Gunnar Solskjaer vents his frustrations about the penalty that wasn't given pic.twitter.com/7YK22ja6Oo

— Football Daily (@footballdaily) February 28, 2021
Kama yule kiazi Pernandez dk. 90 zote yeye ni kulalamika tu badala ya kucheza mpira. Aliniboa.
Hata faulo imechezwa katikat, yeye anataka itengwe tuta.
 
Ndiyo kawaida ya hizo app za live football. Huja na kupotea; Burma Tv, Mobdro, nk

Tumia website ya "hesgoal"

Iko fresh, mechi zote. Ni wewe tu na bando lako.
Mkuu Mbeya City Spurs I nakushukuru sana kwa kunishirikisha hii website inayopiga kazi vizuri bila mkwamo wowote. Juzi nimengalia mpira wa Madrid na Sociedad kwa raha zote. Kama baadaye hawataifunga, tutafaidi sana aisee. Shukrani.
 
Mkuu Mbeya City Spurs I nakushukuru sana kwa kunishirikisha hii website inayopiga kazi vizuri bila mkwamo wowote. Juzi nimengalia mpira wa Madrid na Sociedad kwa raha zote. Kama baadaye hawataifunga, tutafaidi sana aisee. Shukrani.
Pamoja sana mkuu tpaul . Usiwaze, hata mimi nilipewa na mkali mwingine. Huwezi jua ipo siku na wewe utampa mwingine au hata mimi. Mimi naikubali sana hiyo kitu. Game zangu zote nacheki huko.

Tuombe tu wasizingue.

 
Mkuuu inapatikana Google au play store??
Ni website mkuu. Unaingia google au kwenye browser nyingine unaandika "hesgoal.com". Link za michezo inayoendelea zinakuwa mwanzo kabisa. Ni michezo yote. Kazi inakuwa kwako kubonyeza link ya mchezo uutakao.
Screenshot_20210301-115737.jpg
 
Hiyo ni website ya kawaida, sio Google wala Google App Store, link umepewa au search kwenye google hesgoal, ya kwanza itakayokuja ndio yenyewe
Nimerudi kwetu wakuuu vip unacheki online au unaweza hata ku download????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom