Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu imecheza vizuri tatizo tu hatuna kiungo mchezehsaji kama Fab. Mount bado anakua, Ziyech bado yuko low form, Odoi ndie kajitahidi kule mbele. Pulisic bado form haijarudi
 
NEXT

Tarehe 4/3/2021 Away anfield na Liverpool
Tarehe 8/3/2021 Nyumbani darajani na Everton
Tarehe 13/3/2021 Away na Leeds United

Miteremko zinaazna Tarehe 3/4/2021 na West Brom
 
Pongezi kubwa kwa Ole Gunner amekuja na approach nzuri kiasi kwamba ameweza Ku expose weakness za Chelsea. Na Chelsea wakashidwa kufanya build up ya mashambulizi ambayo always hua yanaanzia nyuma kwa mabeki. Na Chelsea wakapoteza utulivu na kupoteza passing accuracy. Na mpira ukachezwa sn ktk half ya Chelsea....

James na Greenwood, Bruno na Rashford hawa wali press so high na kuifanya Chelsea icheze deep muda mwingi wa first half na kushindwa kupeleka mipira mbele huku Fred na McTomnay wakionekana Ku relax maana walicheza chini kabisa karibu na walinzi wao.

Kudos pia kwa Tuchel maana kipindi cha pili alirekebisha Hizo shida. Na pia sub alizofanya kuanza na James na wengine zilileta uhai na kuisukuma utd nyuma.

Kwa kifupi ilikua ni battle of tactics kutoka kwa waalimu wote wawoli huku kila mwalimu akibaki kushikilia mbinu zake bila kubadilika.


Chelsea amebaki kua unbeaten ktk games 9 sasa na Utd amebaki kua unbeaten ktk away games pia.

Kwa mtazamo wangu City, UTD na Chelsea hawa ni title contender kabisa ktk msimu ujao maana tayari Tuchel amefanikiwa kuleta mapinduzi makubwa sn na kwa muda mfupi sn. Timu imekua na solid Bond baina ya wachezaji na kocha na mashabiki. Hii ni nzuri sn.

Kesho nitakuja na uchambuzi wa kina kuhusiana na hii game

Hongereni sn mashabiki wa Chelsea na wapenda soccer wote kwa ujumla
 
Na 2017 ndio ilikuwa mara ya mwisho kubeba kombe la EPL under Antony Conte.

Naimani under TT tutarudi katika ubora wetu wa mwendelezo bora wa kubeba angalau kikombe kimoja kwa msimu.

Kwa sasa Mwelekeo wa matumizi sahihi ya wachezaji unaonekana, madhaifu yanaonekana waziwazi kwenye eneo la ushambuliaji.

TT aletewe haaland tuu ikiwezekana + sancho na Eriksen.

--------------- Haaland -----------------

Werner---- Eriksen ---- Sancho

----------Joginho - Kovacic--------
Hivi huwa mnakiona nini kwa Sancho ambacho mimi sikioni. Mbona Sancho kama Odoi tu. Kwanza Odoi anaweza akawa mzur kuliko huyo Sancho.
 
Habari nazifuatilia ila nilikuwa sifahamu vikwazo alivyowekea ni pamoja na kutojenga uwanja wa kisasa.

Basi wampige na ban ya kutonunua wachezaji.

Swala la kujenga uwanja linatoa ajira wakazi wa England, linaingizia mapato serikali ya England, uwanja unabaki England.

Vikwazo vya nini sasa? Swala la uwanja Anayefaidi ni Abromovich au England?

Ameshabadili uraia kwa sasa ni raia wa israel
Ndio maana unaona kwa sasa ndio amerudisha focus yake kwenye mpira wa chelsea hapo nyuma ni kama alikuwa anasuasua
 
Usihofu mkuu Abromovich ameshatenga fungu la usajili dirisha kubwa lijalo £260M.
Kununua striker bila kununua kiungo mbunifu huyo striker atageuka kuwa galasa na hii imechangia kwa Torres kuchemka Chelsea.We angalia Mourinho alichokifanya alimnunua Costa akamnunua pia Fabregas ndio maana Costa akashine
lembu
 
Kununua striker bila kununua kiungo mbunifu huyo striker atageuka kuwa galasa na hii imechangia kwa Torres kuchemka Chelsea.We angalia Mourinho alichokifanya alimnunua Costa akamnunua pia Fabregas ndio maana Costa akashine
lembu
Uko sahihi, strikers tulionao ni wazuri wakipata kiungo mbunifu.
 
Mkuu nilidownload BURMA TV na ilikuwa inafanya kazi vizuri sana lakini sasa hivi haifanyi kazi. Pia jana nilidownload hii ya LIVE FOOTBALL TV nayo haifanyi kazi kiongozi wangu, sijui hata nifanyeje!
Ndiyo kawaida ya hizo app za live football. Huja na kupotea; Burma Tv, Mobdro, nk

Tumia website ya "hesgoal"

Iko fresh, mechi zote. Ni wewe tu na bando lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom