Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni kipigo tu haina kukimbia isipokua Giroud akijitahidi atascore
 
Kikosi hicho cha leo na Manure
1614527407169.png
 
Mna kila sababu za kuwaadhibu united kwa sababu tangu washinde vimechi vya ma underground wamekuwa na kelele kama shwagne walioona kopo la makombo.
Tandikini hao kenge wajawazito kurudisha heshima mliyokuwa nayo tangu enzi za mou.

Niwatakieni ushindi mwema.

COYC
Usijali Leo man u atakiona Cha mtema kuni
 
Kikosi hicho cha leo na Manure
View attachment 1714158
First eleven nzuri Sana nimependa Ziyech alivyoanza na benchilwell kocha kaweka mfumo wa kumfavour Giroud na amemuweka ben kwasababu Ni yupo na kasi na nimzuri kwenye ukabaji compare to Alonso Kama Leo angeanza man u wangetarget upande wake.Kwa kikosi hichi I believe on God tutashinda together we can.
 
Hata mimi niliwaza hilo kuwa Ma U wangemtarget Alonso kwa counter attack
 
Kumiliki mpira bila kupata magoli ni dalili ya uoga. Greenwood butua butu na Bruno Penalties watawaonyesha.
 
Kipindi cha pili kila timu itakuja kutaka kumaliza mchezo kwa kushambulia kwa nguvu. 3 4 3 ni vulnerable kwa kaunta na thru balls ambazo nyumbu wanaziweza. Ukijichanganya kushambulia kwa nguvu kazi ipo.

Hapo bado penati cheltako mnatokaje kwa mfano?
 
Piga ramli Tu
 
Nyie ndezi mnakwama wapi kumpiga nyumbu hadi dakika hii!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom