Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimerudi kwetu wakuuu vip unacheki online au unaweza hata ku download????
Ni website inaonyesha live video za game zinazochezwa. Huwezi kudownload kwa sababu sio app. Kwenye football news ukibonyeza itakuletea mechi zinazochezwa, bofya kwenda kwenye ukurasa wenye hivyo video.
mfano
1614784882508.png
 
Football is a Gambling Business
Chelsea sold Salah to Roma for just £13.5million in August 2016
He is now worth £108million
Chelsea also sold Eden Hazard to Real Madrid for just £103.5million in July 2019
He is now worth £45million
 

Hudson-Odoi fit but Thiago Silva and Abraham to miss Liverpool clash,

confirms Chelsea boss Tuchel

 
  • UEFA Women's Champion League

  • Chelsea 2-0 Atlético Madrid

  • Mjelde and Kirby Secure Superb Victory

Pamoja na Sophie Ingle kutolewa dakika ya 12 kwa red card na Chelsea kucheza pungufu lakini Chelsea waliendelea kukiputa na kuweza kufunga magoli mawili, moja la penalti na lingine shot on target kutoka nje kidogo ya penalty box
 
Lawrenson na Owen wabashiri mechi itakuwa tight na matokeo yatakuwa 1-1.
 
CHELSEA | Kwa mujibu wa ripoti, Erling Haaland hatosaini Chelsea kwasababu hafikilii kama ni moja ya klabu kubwa Duniani

Chelsea fans, what's up?
 
CHELSEA | Kwa mujibu wa ripoti, Erling Haaland hatosaini Chelsea kwasababu hafikilii kama ni moja ya klabu kubwa Duniani

Chelsea fans, what's up?
Acha uongo kk...amezirule out Chelsea n Bayern km destination zake anazotaka kuamia na sio suala lako uliloleta la timu kubwa
 
Klabu kubwa arsenali itamsajili.
The clubs in question are reported to be Liverpool, Manchester City, Manchester United, Barcelona, Real Madrid and Juventus.
Porojo za media, hata Bayern hawakuitaja, Hata PSG hawakuitaja, Hata Arsenal hawakuitaja nsijui walitumia kigezo kipi
 
liverpool vs Chelsea

Bonge moja la Match kama shabiki wa THE BLUES hutakiwi kuikosa. Pale Anflied now days hapaogopeshi, pamekuwa lango la wanyang'anyi kubeba point.

Twende na 343

Werner - Giroud - Mount

Chilwell - Kante - Kovacic- James

Rudger - Christensen - Azipu

Werner & Mount wapangwe kule mbele kuwapress Arnold & Robertson wasianzishe mashambulizi.

Hapo kwa Chilwell & Rudger na James & Azipu hakikatizi kitu. Odoi anaweza akaanza akatupa ubunifu kule mbele ila na wasiwasi Robertson anaweza akafurukuta kupandisha mashambulizi.

Christensen amekuwa kwenye form balaa nategemea leo Firmino ana rest in peace.

Kante & Kovacic mpera mpera, kuendelea kukichafua hapo kati.

Kwenye ufungaji wa magoli kule mbele ndio changamoto kubwa inayotukabili kwa sasa. Nyuma tunacheza vizuri, katikati vizuri, ila kule mbele tunacheza bila maelewano hakuna muunganiko, hakuna ubunifu.

Hii match sidhani kama kuna DRAW, bali ushindi mwembamba.

Liverpool 0 - 1 Chelsea
Ili iwe 3-4-2-1, werner na mount wacheze kama viungo washambuliaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom