Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Werner adai Tuchel haweki mabifu tofauti na Lampard ukifanya makosa hasahau na anaweka bifu
Amedai Tuchela hajali kama yeye Werner amekuwa akikosakosa kufunga na kufanya makosa mengine mengi uwanjani kitu ambacho kinampa ujasiri
Amedai pia hiyo tabia ya kutojali makosa ya nyuma imewapa ujasiri wachezaji wenzake kuanza upya
Ameendelea kudai kuwa meneja mpya anamuelewa kwa urahisi na yeye pia anakuwa huru kujieleza kwa sababu ya lugha tofauti na Lampard ambaye amedai alikuwa anamuelewa ila hawezi kujieleza kwa uhuru kwa sababu ya lugha
 
Nikuambie kitu, Tuchel ni binadamu na ana madhaifu tu saa nyingine hata kumzidi Lampard. Bado anao upendeleo wa waziwazi na huo upendeleo ni bomu ikijaa timu itaanza kufanya vibaya na baadaye mambo ya kutimuana inaanza. Alipokuja alidai atawapa wachezaji wote fursa sawa ila mpaka sasa kuna wachezaji wamekaa tu hatujui kama ni wazuri au la. Mfano Gilmour, Benchilwell, Pulisic na Ziyech huku Werner kacheza mechi zote tangu aje lakini bado mimi naona papara tu anapokuwa na mpira. Angewapa muda wa kutosha pia akina ZIyech, Pulisic, Benchilwell, Billy Gilmour, Kanmte mpaka sasa anamsifia tu lakini hana mpango wa kumtumia japo naamini combi ya Kovacic na Jorginho kwa sasa inafanya vizuri.
Kwa amelezo haya sina maana simuamini TT ila pia nasita kumpa sifa zote kwa sababu hajaenda na timu mbali, ni mechi nane tu na katika mechi hizo udhaifu mkubwa kwa sasa umebakia kwenye washambuliaji
Nakumbuka kwenye 1st conference ya kwanza kabisa ya tt kuhusu kante, alisema kante anacheza vizuri tu pale anapokuwa na dm mwingine pembeni yake

Nikiangalia kwa kikosi chetu tangu aondoke matic hakuna dm mwingine anayeweza cheza na kante pamoja na combo yao ikatick
 
Binafsi bado sijaridhika kabisa na ubora wa wachezaji wanaocheza The BLUES kwa sasa.

Tulifanya mistake sana kusajili kwa papara dirisha kubwa lililopita. Nilitegemea lile fungu £220M ya usajili, ingefungua ukasa mpya wa kujenga Chelsea tishio duniani.

The BLUES ya sasa inayo mchezaji gani tishio? wa kuringia? Hakuna. Man city wana KDB, man u wana Bruno, Leicester wana Vardy, Tote wana Kane, Liver wana Salah.

Kweli binafsi naona Chelsea ya sasa ina average players wengi sana. Wachezaji moto hawafiki hata wanne.

TT ajenge kikosi kipya kikali, tishio EPL na UEFA , sio muda wa kuwapa nafasi average players.
Hivi chelsea hua ina muda wa kumsubiri kocha ajenge kikosi?
 
Wewe unadhani timu inajengwa kwa msimu mmoja baada ya usajili?
 
Ole mwenyewe anakili kua ni ngumu kucheza na Chelsea kwa sasa kutokana na wanavyocheza na wanavomiliki mpira. Hivo kz yake ni kutafuta mbinu kuweza kupata matokeo positive.

Sasa wewe unawachukulia Chelsea poa wakati manager wako ana wenge kichwani anaumiza kichwa aende na mfumo gani?

Na kwa taarifa yako ni kwamba UTD atakuja na approach ya kukaba sana na kutumia counter attacks kwa kutegemea uwezo wa kukimbia wachezaji wake Marital, Marcus Rashidi, Bruno na Greenwood. Atatumia counter sn kuliko vingine maana utd ndio timu inatumia counter sn.

Sasa jiulize Spurs na Mourinho ndio mafundi wa Counter lkn Tuchel alienda pale na kuhakikisha hawapigi counter ata moja. Na kweli Spurs hawakufanya Counter ata moja. Sasa kz kwenu
Leo tunakupigigeni bao 3 tu na kujihakikishia 3 points.

Leo fungate imefikia mwisho.
 
Na 2017 ndio ilikuwa mara ya mwisho kubeba kombe la EPL under Antony Conte.

Naimani under TT tutarudi katika ubora wetu wa mwendelezo bora wa kubeba angalau kikombe kimoja kwa msimu.

Kwa sasa Mwelekeo wa matumizi sahihi ya wachezaji unaonekana, madhaifu yanaonekana waziwazi kwenye eneo la ushambuliaji.

TT aletewe haaland tuu ikiwezekana + sancho na Eriksen.

--------------- Haaland -----------------

Werner---- Eriksen ---- Sancho

----------Joginho - Kovacic--------
Kwa hiyo tuna kili wote kua Ziyech na Harvart tumepigwa?
 
Na 2017 ndio ilikuwa mara ya mwisho kubeba kombe la EPL under Antony Conte.

Naimani under TT tutarudi katika ubora wetu wa mwendelezo bora wa kubeba angalau kikombe kimoja kwa msimu.

Kwa sasa Mwelekeo wa matumizi sahihi ya wachezaji unaonekana, madhaifu yanaonekana waziwazi kwenye eneo la ushambuliaji.

TT aletewe haaland tuu ikiwezekana + sancho na Eriksen.

--------------- Haaland -----------------

Werner---- Eriksen ---- Sancho

----------Joginho - Kovacic--------
Mimi sioni km ktk eneo la ushambuliaji km kuna tatizo. Tatizo lililopo ni kwamba Chelsea imekua inamiliki mpira sn kwa asilimia 69 huu ndio wastani wake wa kumiliki mpira hili jambo linazifanya timu pinzani kucheza chini na kujilinda sn kitu ambacho kinapelekea kukosekana kwa nafasi yaani open spaces zinakua ni ngumu na ndio sbbu tunaona wachezaji wanashindwa kufungwa.

Hebu timu pinzani zije zicheze open game na sio deep ktk kujilinda uone sasambu litakalo pigwa na mvua za magoli watakazofungwa....

Kwahiyo hakuna tatizo ktk strikers inabidi tubadili mfumo tu kidogo tuwape nafasi opponents nao wamiliki mpira ili tuwe na uwanja mpana hapo utawaona kina Timo na Kai watakavo funga
 
Nikuambie kitu, Tuchel ni binadamu na ana madhaifu tu saa nyingine hata kumzidi Lampard. Bado anao upendeleo wa waziwazi na huo upendeleo ni bomu ikijaa timu itaanza kufanya vibaya na baadaye mambo ya kutimuana inaanza. Alipokuja alidai atawapa wachezaji wote fursa sawa ila mpaka sasa kuna wachezaji wamekaa tu hatujui kama ni wazuri au la. Mfano Gilmour, Benchilwell, Pulisic na Ziyech huku Werner kacheza mechi zote tangu aje lakini bado mimi naona papara tu anapokuwa na mpira. Angewapa muda wa kutosha pia akina ZIyech, Pulisic, Benchilwell, Billy Gilmour, Kanmte mpaka sasa anamsifia tu lakini hana mpango wa kumtumia japo naamini combi ya Kovacic na Jorginho kwa sasa inafanya vizuri.
Kwa amelezo haya sina maana simuamini TT ila pia nasita kumpa sifa zote kwa sababu hajaenda na timu mbali, ni mechi nane tu na katika mechi hizo udhaifu mkubwa kwa sasa umebakia kwenye washambuliaji
TT anaujua umuhimu mkubwa wa Kante ktk timu na ameshasema kua Kante yuko ktk mipango yake mikubwa lkn Ben kwa sasa sizani km atapata nafasi ya kwa Alonso maana Alonso ana uzoefu mkubwa sn na mfumo wa 3+4+3

Kuhusu Timo. Mi naona ni bora aendelee kumpatia nafasi maana Zyench na Pulisic hawa viwango vao vimepoa...

Na kuhusu Billy Gilmour, hivi mkuu ni kweli Billy anaweza kumuweka benchi ktk haya viungo watatu Kante, Jorginho na Kovacic? Mi naona Gilmour awe anapewa dk kadhaa kucheza maana nautambua uwezo wake na yuko vzr sn lkn bado sioni km anaweza kupewa nafasi sn. Na si kwamba namzarau Billy lkn uhalisia haumruhusu.
 
Binafsi bado sijaridhika kabisa na ubora wa wachezaji wanaocheza The BLUES kwa sasa.

Tulifanya mistake sana kusajili kwa papara dirisha kubwa lililopita. Nilitegemea lile fungu £220M ya usajili, ingefungua ukasa mpya wa kujenga Chelsea tishio duniani.

The BLUES ya sasa inayo mchezaji gani tishio? wa kuringia? Hakuna. Man city wana KDB, man u wana Bruno, Leicester wana Vardy, Tote wana Kane, Liver wana Salah.

Kweli binafsi naona Chelsea ya sasa ina average players wengi sana. Wachezaji moto hawafiki hata wanne.

TT ajenge kikosi kipya kikali, tishio EPL na UEFA , sio muda wa kuwapa nafasi average players.
Hao wachezaji waliopo watakuja kua wakali maana Chelsea imefanya usajili si kwa kuangalia majina ya wachezaji wakubwa. Imenunua wachezaji wenye umri mdogo ambao ktk maisha yao ktk timu ya Chelsea watakuja kua wachezaji wakali km kina Hazard na wengine.

Hivo hii Chelsea imejengwa na inajengwa kwa ajili ya Future
 
Maendeleo na mafaniko ya club sio tuu kununua wachezaji wa bei ghali, bali ni pamoja na kumiliki uwanja wa kisasa.

Tottenham wametisha, uwanja mkubwa na mzuri sana.

Sijui THE BLUES tunafeli wapi kwenye swala la kumiliki uwanja wa kisasa?
Inaonekana hufuatilii kinachoendelea. Coz hili jambo lilisitishwa baada ya kumuwekea vikwzo boss kubwa
 
Nyie Blues sio kua nawapenda, ila naupenda sana mkeka wangu. Pigeni hao Manure.
Nb. Muache kuota suala la ubingwa, sisi city hatujanyanyua msimu uliopita ko makwapa yanatuwasha. Tu nataka kunyanyua msimu huu mtatusamehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom