Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,045
- 3,603
chezea drogba weye...ribery out...bado robben...!
Bayern watajuta........
Huu umekuwa mchezo wa kihindi - piga tajame!
hamna mtandao unaoonyesha live streaming?:yawn:
yaani leo chelsea tukijikokota mpaka kwenye penalty na bayern wakachukua kombe haitaniuma sana...mpaka nawaonea huruma...!Bayern vip mumerogwa
yaani leo chelsea tukijikokota mpaka kwenye penalty na bayern wakachukua kombe haitaniuma sana...mpaka nawaonea huruma...!
Hahaha... nadhani zitakwenda penalties... wakati wanapiga penalty I was telling this guy ambaye tunaangalia wote kwamba Peter C. He is good with penalties! Wakienda penalties nadhani chelsick wanabeba ndoo hii
Vipi zile tambo ulizoanza nazo ziko wapi? umeamini nilivyokwambia wewe hakuna unalojuwa katika soka? sasa hapa kifuatacho kinaitwa Rottary ni swala la bahati tu.ni heri kununa harusini kuliko kucheka msibani...