Chuki binafsi kwa Mwafrica mwenzako, ni majungu tu ndiyo mnayoyamudu ndiyo maana hakuna Mtanzania kwenye ligi kubwa Ulaya.Hahahah...mi nataka tufike mpaka penalty...halafu Drogba akose!
I hate this
kakosa duu! Arjen Robben
kimavi cha barca kimewaangukia nini? ila wanaweza kushinda maana wanashambulia kama nyuki wakali...!Wamekosaaa...
Naona kakuangusha.
Alafu Robben mchoyo flani au macho yangu? Naona anao anao nyingi, japo ndio kawaida yake lakini kwenye mechi kubwa kama hii lazima utafute wenzako sometimes.