Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Kwenye uwanaume bado haujafikia, wewe bado ni mvulana tu.
Maana hata bao lako ni maji maji tu haliwezi tia mimba.
Hapo bado sijakuambia misuko suko tunayo pitia wanaume.
We ni dereva wa sahani, break mkeka (kula kwa mama)
Ila hongera kwa ushindi wa mbinde mulio upata jana.

Wanaume tumekaa kwenye jukwaa letu tunajadili mambo ya timu yetu, wewe unapita mbele yetu umejifunga kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowo.