Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mzee baba kwenye ligi mpinzani ambaye Timu wanashindana nae ni yule anayeoongoza Ligi (Man City) na sio Liverpool. Musiwe na Mindsets za Midtable Teams.

=========================
Anyway! Honeymoon ya New Coach huwaga inaisha na kurudi kwenye uhalisia lazima mukumbuke hilo. So mpeni kocha angalau 7 to 10 games ili baada ya Honeymoon mumjue rangi yake halisi.
King Ngwaba Issue Wala si honeymoon Bali huyu kocha (Thomas Tuchel) ana mbinu za ushindi ukiachana na uwezo binafsi za wachezaji hii ilikuwa tofauti Sana na Lampard ambaye alikuwa Hana mbinu zaidi ya kutegemea uwezo wa wawachezaji.
 
Mzee baba kwenye ligi mpinzani ambaye Timu wanashindana nae ni yule anayeoongoza Ligi (Man City) na sio Liverpool. Musiwe na Mindsets za Midtable Teams.

=========================
Anyway! Honeymoon ya New Coach huwaga inaisha na kurudi kwenye uhalisia lazima mukumbuke hilo. So mpeni kocha angalau 7 to 10 games ili baada ya Honeymoon mumjue rangi yake halisi.
Kwa squad tuliyonayo sio swala la Honeymoon, Lampard alipoteza mvuto wa Dressing room ndio kafanyiziwa na wachezaji. Huyu mpaka apoteze mvuto wa Dressing room not less than 2 seasons. Tuna squad ikitulia inaweza kuifunga timu yeyote EPL
 
Angalia uliyemquote na uliyemtag uone tofauti kati ya King Ngwaba na King_Ngwaba .

Anyway! Mtazamo wako nawe pia kwenye Ligi munashindana na Liverpool?
Mkuu Kwan bado unajipa matumaini beki wenu Robertson kashajitoa kwenye ushindani wa kombe...Afu mmeiacha Chelsea point 4 Tu Mzee mpk sasa msipoangaliwa si mnafikiwa hyo kesho kutwa😀
 
Kwa squad tuliyonayo sio swala la Honeymoon, Lampard alipoteza mvuto wa Dressing room ndio kafanyiziwa na wachezaji. Huyu mpaka apoteze mvuto wa Dressing room not less than 2 seasons. Tuna squad ikitulia inaweza kuifunga timu yeyote EPL
Kwa hiyo wewe unaamini kufeli kwa lamapard ni kw kuwa alikua na ugomvi na wachezaji, sio kwamba alikua hamna kitu kichwani?
 
Angalia msimamo mkuu.
Unamaanisha huu msimamo?
Screenshot_20210205-101018_1612509101389.jpg
 
Ha ha haa. Mkuu, mimi huwa sibishani na facts. Msimamo uliokuwa ukinifanya kuwa timu kubwa zaidi pale London ni ule wa kabla ya kale kagoli ka zawadi mlikopewa na mabeki wetu jana. Sasa hivi nimekukabidhi kijiti kwa muda.

Timu yangu bado inategemea wachezaji wawili watatu. Kane akirudi wiki ijayo hautaniona nikipoteza tena mchezo rahisi kama wa jana.
 
Kesho kutwa liverpool wakipigwa na sisi tukashinda basi uhakika wa top four na kuwa title contender utarudi..[emoji3]
Kuweni serious nyie watu. Kweli kabisa unawaza ubingwa. Ikiwa kikosi dhaifu kama kile cha kwangu jana unahaha kutengeneza clear chances ndiyo utamchallange City kweli. Kikosi unacho ndiyo ila huna hatari kwa mpinzani. Bado hauwezi kutengeneza nafasi.

Wewe ni top six contender.
 
Mzee baba kwenye ligi mpinzani ambaye Timu wanashindana nae ni yule anayeoongoza Ligi (Man City) na sio Liverpool. Musiwe na Mindsets za Midtable Teams.

=========================
Anyway! Honeymoon ya New Coach huwaga inaisha na kurudi kwenye uhalisia lazima mukumbuke hilo. So mpeni kocha angalau 7 to 10 games ili baada ya Honeymoon mumjue rangi yake halisi.
Kuhusu issue ya new coach niliahaongea toka tulipocheza na Burnley aliyeibikiri Anfield baada ya mechi 68 za PL bila kupoteza. Nilisema sasa ivi kila mchezaji anajituma walau kumshawishi kocha ili aingie kwenye first eleven yake ao wajiandae kwa lolote huko mbele. But mpaka sasa naona dressing room joto liko constant.

Kuhusu hiyo comment uliniyo quote hapo namaanisha zimebaki point 4 kwa yule anayeshika nafasi ya 4 kwa sasa ambaye ni Liver na sisi lengo letu ni kuingia top 4 yatakayoendelea huko mbele ni majaliwa. So usiumie ukahisi ni mindset za midtable teams kama Arsenal. Lengo ni top 4
 
Ha ha haa. Mkuu, mimi huwa sibishani na facts. Msimamo uliokuwa ukinifanya kuwa timu kubwa zaidi pale London ni ule wa kabla ya kale kagoli ka zawadi mlikopewa na mabeki wetu jana. Sasa hivi nimekukabidhi kijiti kwa muda.

Timu yangu bado inategemea wachezaji wawili watatu. Kane akirudi wiki ijayo hautaniona nikipoteza tena mchezo rahisi kama wa jana.
Mkuu kama hoja yako ya ukubwa ni kwenye msimamo basi nataka utambue bado huwezi kuwa mkubwa pale London kwa sababu West Ham anashika nafasi ya 5 kwa point 38 kwa hiyo hata ungeshinda hiyo mechi rahisi bado huwezi kuwa mkubwa pale London.
 
Kuweni serious nyie watu. Kweli kabisa unawaza ubingwa. Ikiwa kikosi dhaifu kama kile cha kwangu jana unahaha kutengeneza clear chances ndiyo utamchallange City kweli. Kikosi unacho ndiyo ila huna hatari kwa mpinzani. Bado hauwezi kutengeneza nafasi.

Wewe ni top six contender.
Tukipiga esabu furesh hili kombe ni letu kabisa hakuna namna
 
Kwa hiyo wewe unaamini kufeli kwa lamapard ni kw kuwa alikua na ugomvi na wachezaji, sio kwamba alikua hamna kitu kichwani?
YES, YES. wachezaji wa Chelsea wana uwezo wa kubaki top 4 hata kama kocha ni mbovu, kilichofanya Chelsea ikafungwa mfululizo ni dressing room kuharibika, hili liko wazi wala haitaji ku urge
 
Tukipiga esabu furesh hili kombe ni letu kabisa hakuna namna
Kombe lipi mkuu? Epl? Acha utani. Kombe la City na angalau kidogo, tena kwa mbali United ikiwa Penandes hatakosa hata mechi moja ijayo.

Wewe ni top six contender hivyo ukimaliza top four sherekea.
 
Mkuu kama hoja yako ya ukubwa ni kwenye msimamo basi nataka utambue bado huwezi kuwa mkubwa pale London kwa sababu West Ham anashika nafasi ya 5 kwa point 38 kwa hiyo hata ungeshinda hiyo mechi rahisi bado huwezi kuwa mkubwa pale London.
Kwa sasa nimekubali mkuu. Nawapa heshima mnazostahili japo najua ni kwa muda tu. Msimu wangu mimi ujao. Sasa hivi makombe yangu ni haya madogo madogo. Huko kocha wangu akishindwa kubeba hata kimoja ndiyo nitaanza kukubali kuwa ameanza kuchoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom