Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama matokeo haya yakiwa hivi hadi mwisho Liverpool wanatusidi point moja tu, vita vya top 4 ndio inazidi kunoga
 
Mkubwa lengo letu ni kombe haya mambo ya top 4 tuwaachie arsenal huyu man city lazima atajichanganya tu na yeye niamini mkubwa.
Hiyo ni presure nyingine ya kujitakia, umsubiri aliye juu ashuke chini ili sisi tupande. No. Kama ni kombe labda FA na UEFA
 
1612732943227.png
 
Hii team haiwez kupata points 3 bila kupewa penalty [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama nilivyosema Ben Chillwell amaeshindwa kufiti in kwenye mfumo wa 3-4-3, ametolewa na mtaalam wa mfumo Alonso anaingia. Pia Giropud naona hana impact kabisa na Odoi kaingi badala yake. Tutegemee kule mbele kuchangamka zaidi.

Sasa tunabadili mfumo badala ya 3-4-1-2 (strikers wawili mbele) tunatumia mfumo wa 3-4-2-1 (Werner akiwa Striker pekee na Mount na Odoi wakicheza kama foward wa kushoto na kulia
Kwa hyo chilly hana nafasi kwa TUCHEL????
 

Chelsea reach agreement to sign Boateng (Todofichajes)

German defender set to join Blues in the summer
Chelsea have reached an agreement to sign Bayern Munich defender Jerome Boateng (32) at the end of the season
 

Chelsea reach agreement to sign Boateng (Todofichajes)

German defender set to join Blues in the summer
Chelsea have reached an agreement to sign Bayern Munich defender Jerome Boateng (32) at the end of the season
Unauonaje huo usajili?
 
Unauonaje huo usajili?
Tutakuwa na wazee wengi kule nyuma kama Crystal Palace
Kwa nini Chelsea wasimsajili beki wa kumpa mkataba wa miaka minne au mitano. CB wa miaka 27 maximum anafaa
Wangemsajili Upecano 22 au Laporte, naona Man city wanamuweka benchi kwa sababu ya Dias ana miaka 26 hao watatufaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom