Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Thiago kaumia[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] ameingia christensen
 
Tuche bado ana kazi kule mbele. Leo tungekuwa na goli 4

Moiunt, Kovacic, Pulisic wanacheza kwa ubinafsi kule mbele. zile move zao wangekuwa Mancity goli zingeingia kwa kutoa pasi kwa mfungaji
 
Tuche bado ana kazi kule mbele. Leo tungekuwa na goli 4

Moiunt, Kovacic, Pulisic wanacheza kwa ubinafsi kule mbele. zile move zao wangekuwa Mancity goli zingeingia kwa kutoa pasi kwa mfungaji
Sio wanacheza kwa ubinafsi Tatizo lipo kwa striker wetu kwenye swala la kufungua nafasi... Ndio maan unaona wabinafsi
 
Naona kocha aliamua kumpumzisha Tu maana nahic aliumia hata wkt anafanyiwa sub alikuwa anachechemea Kwa maumivu
 
Sio wanacheza kwa ubinafsi Tatizo lipo kwa striker wetu kwenye swala la kufungua nafasi... Ndio maan unaona wabinafsi
Chance ya kovacic, sijui alikuwa mount/pulisic walikuwa ashafungua ila akaamua kushoot

Chance ya pulisic,reece james alikuwa ashafungua yuko peke yake ila akapoteza mpira akaanza kulia lia kutaka faulo

Striker anaweza kuwa amebanwa , ila wachezaj wengine wapo kwenye nafasi y kufunga wape wafunge
 
Sio wanacheza kwa ubinafsi Tatizo lipo kwa striker wetu kwenye swala la kufungua nafasi... Ndio maan unaona wabinafsi
Makosa ya leo ni ya aliyekuwa na mpira anabaki nao mpaka ananyang'anywa. Angalia replay ya Mount, Pulisic na Kovacic. Chenga mingi halafu unaishia kupoteza mpira kizembe
 
Rekodi zilizovunjwa leo
  1. MOU kwa mara ya kwanza kwenye career yake ya ukocha anafungwa mara mbili mfululizo nyumbani kwake
  2. Tuchel anakuwa kocha wa kwanza Chelsea kupata cleansheet 3 mfululizo tangu MOU wa mwaka 2004
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom