msimu ujao hamalizi huyo, EPL ligi ya kibabe sana na hana man management nzuri. Wachezaji watampanda kichwani kabla ya msimu huu kuisha.The best january transfer in 20/21: Tuchel to chelsea
Mkubwa wa nini?[emoji81][emoji81][emoji81]Aisee pokea kabisa hizi gwala [emoji1363][emoji1363][emoji1363][emoji1363][emoji1363]. Hawa mabwana mdogo naona wameanza kujisahau wanashindwa kutoa heshima kwa wakubwa zao.
Tatizo mechi ikiisha huwa mnayeyuka kama barafu ya Arctic ikiletwa huku nchi za tropicKlopp hawezi kuchukua hata kikombe cha mbuzi anapokuwa na changamoto hata moja tu. Anahitaji kuwa na kikosi cha dunia mechi zote za msimu ndiyo achukue kikombe kimoja (epl ama ucl).
Mtoe hapo kwenye namba moja.
Pia hapo kwenye namba nne tayari pana mwenyewe, simuoni hapo. Respect Jose.
Mfundishe Mbeya City Spurs I kuongea kwa nidhamu. Naona yuko moto sana 😊😊Kwa muda huu napita tu bila shari na mtu yeyote, ila nitarudi kuwapa pole.
🤣🤣🤣🤣🤣Wanaume tumekaa kwenye jukwaa letu tunajadili mambo ya timu yetu, wewe unapita mbele yetu umejifunga kanga moja imelowa maji huku unatingisha wowowo.
Ok sasaLet's go BLUES 3-4-3
Werner - Giroud - Mount
Alonso - Joginho - Kovacic - Odoi
Rudger - Thiago - Azipu
Nini shida mzeeHiki kikosi cha leo Dah? View attachment 1694647
MmeishaHiki kikosi cha leo Dah? View attachment 1694647
@Kitoabu ni mtani wangu wa jadi na nilikwisha kumalizana na timu yake kwa kuipiga goli 6 - 1. Kwa hiyo hata yeye anajua ubingwa sichukui msimu huu ila nimewaonesha vigogo kuwa wajipange. Misimu ijayo ya kwangu.Mfundishe Mbeya City Spurs I kuongea kwa nidhamu. Naona yuko moto sana [emoji4][emoji4]
Angalia msimamo mkuu.Mkubwa wa nini?[emoji81][emoji81][emoji81]
Formation poa sana hii. 3-4-3Hiki kikosi cha leo Dah? View attachment 1694647