Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alie juu mngoje chini, umesahau huo msemo?
Kwahiyo we endelea kutungoja hapo hapo.
Hakuna goli la kupewa hapo boss. Ni juhudi za Werner na asingemkwatua very likely lingekuwa goli. Kweli bado tuko nafasi jirani ila sisi ni mgonjwa aliyeruhusiwa wakati ninyi bado mko kwenye matazamio. Manyuu pale juu watashuka tu. Majogoo wakiendelea kutengenezwa supu nao tunawaacha. Hapo ni Man City tu ndio wanatishia amani.
 
Predicted Line up
Sheffield United vs Chelsea
Formation 3-4-3

1612706445421.png
 
Liva..... leo anafanyizwa, tulipofungwa 3-1 walitucheka na kutukebehi
 
Giroud kazeeka, Mfumo wa Tuchel hatatoshea, bora pale angesajiliwa Haaland tu
 
Kama nilivyosema Ben Chillwell amaeshindwa kufiti in kwenye mfumo wa 3-4-3, ametolewa na mtaalam wa mfumo Alonso anaingia. Pia Giropud naona hana impact kabisa na Odoi kaingi badala yake. Tutegemee kule mbele kuchangamka zaidi.

Sasa tunabadili mfumo badala ya 3-4-1-2 (strikers wawili mbele) tunatumia mfumo wa 3-4-2-1 (Werner akiwa Striker pekee na Mount na Odoi wakicheza kama foward wa kushoto na kulia
 
Rudiger baada ya kushindwa kuwafunga Sheffield United ameamua kutufunga sisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom