Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hii ni nzuri...hata bayern akishinda, ashinde kwa kutaabika...bwa ha ha ha ha ha...!
 
Dk 30 za nyögeza zinaanza. Nitagufa na chelsea ndakenda mama!! Uwihhii!
 
I see......

Bayern wakikosa ubingwa wataumia sana.....Itakuwa kama pale Nou Camp mwaka 1999 siku Sam Osei Kufour alipobubujikwa machozi baada ya kunyang'anywa tonge na Man Utd
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom