Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sauti inatosha?'

View attachment 1691016

Screenshot_2021-01-31-17-25-33-276_com.mobilefootie.wc2010.jpg
 
Kweli ila upepo umebadilika sana kwa timu nzima
Kidogo sana, team ili poteza hali ya ushindani wakati wa Lampard hasa wachezaji wakongwe walimletea mgomo Lampard ila bado mno hatuna taem ya kushindana na taem ngumu.

Bado Tuchel anatakiwa kuunda team kwa maana kulineup patterns za wachazaji na jinsi ya kuwatumia kutegemea team. Pia bado anatakiwa kuanza individual coaching hasa kwa wachezaji vijana.

Watu kama Abraham, Timor Warner, Kai, James, Chilwell hawa wote lazima awafanyie mafunzo ya pekee kuwabadirisha wanacheza kwa kubahatisha. Hawajiamini na bado wanahitajika kujengwa na kuwaingiza kwenye mfumo wa team ya chelsea maana bado wanajichezea tu wajuavyo game moja kwenda nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom