Mechi ni leo.Hivi jana Chelsea tulicheza??
Mkuu unataka kutuaminisha Chelsea bila Hazard si lelote, sio?Kwa wanaojua mpira, Hazard kuondoka ilitosha kuvuruga ile timu ya Europa. Manure kaja mchezaji mmoja tu sasa wako kilelen9i mwa ligi, Akiondoka Bruno Hakuna timu pale. So Chelsea aliyokabidhiwa Lampard ilikuwa mbovu bila Hazard. Yeye pekee ndie aliyekuwa na uwezo wa kufikisha double dijits kwenye magoli na Assists. Mpaka sasa hatuna mchezaji mwenye uwezo huo ndio maana tunasota huku mid table. Chelsea ya Europa ilijengwa kwenye cornerstone ya Hazard. Ukweli ndio huo ndg. Hata urembe namna gani Chelsea Ya Europa na ile aliyokabidhiwa Lampard ni tofauti kabisa
Mwanzoni hata kabla hajaondoka Hazard nilisema njia rahisi ya kuziba pengo la Hazard ni timu isukwe upya ili ule utegemezi wa Hazard isije ikaadhiri timu. Harakati za kuisuka Chelsea ndio hizo mpaka makocha wanafukuzwa. Sarri alikiri pengo la Hazard ni dhahiri na kila mchambuzi anakiri hivyo. Baada ya kuchukua Europa Chelsea ilirudi kuwa klabu ya kawaida bila Hazard. Hazard was a talisman of the club and you cannot ignore that hata kama hupendi. Usajili wa milioni 220 umefanyika ili kuiunda Chelsea upya na tunakoelekea ni kuzuri. Lakini Frankly speaking ile Chelsea ya akina Willian, Kovacic, Jorginho, Giroud, Tammy bila Hazard ni just a basic team in EPLMkuu unataka kutuaminisha Chelsea bila Hazard si lelote, sio?
Jins anavyotumika CHO imenikumbusha conte alivyomgeuza MosesFormation ni 3-4-2-1
Tammy Abraham
Timo Werner ----Mount
Alonso --- Kovacic --- Jorginho --- Odoi
Rudiger ---- Silva --- Azpilicueta
Mendy
Acha uchawi wwMbona hii game kama mnakufa hivi
Hizo feeds za canal plus ni kama za dstv,yaani wachambuzi,commentator ni wale kina Peter drury na Jim belgin?Alonso kashampiga mtu bench[emoji23][emoji23]View attachment 1690818
Hapana mkuu ni tofautiHizo feeds za canal plus ni kama za dstv,yaani wachambuzi,commentator ni wale kina Peter drury na Jim belgin?
Okay,lugha ni English?Hapana mkuu ni tofauti
Hapana mkuu sio english ,french tuOkay,lugha ni English?