Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo lipo hapo, bila kusikiliza commentaries mpira haunogi, ndio maana wengine hawakai pub au vibanda umiza
Kweli unachosema labda hiyo lugha ikiwa inapanda sio tatzo sana
 
Nadhani kocha anawapa nafasi waliokosa kucheza under Lampard. Nategemea kumuona Tomori soon. Sijawahi kumwelewa Lampard kumnyima hata michezo ya kawaida. Jamaa ni mzuri sana!
Tumori kashapelekwa kwa mkopo kama sikosei ni ac milan (kama nmekosea naomba kurekebishwa kuhusu timu?
 
Yaani aisee kama mimi bila kuangalia build up in english na commentary ya kima Peter drury na Matt holland huwa si-enjoy kabisa.
Kweli kabisa sema naipenda canal sababu ya quality ya picha ata movie za english unaenjoy sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom