Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kidogo sana, team ili poteza hali ya ushindani wakati wa Lampard hasa wachezaji wakongwe walimletea mgomo Lampard ila bado mno hatuna taem ya kushindana na taem ngumu.

Bado Tuchel anatakiwa kuunda team kwa maana kulineup patterns za wachazaji na jinsi ya kuwatumia kutegemea team. Pia bado anatakiwa kuanza individual coaching hasa kwa wachezaji vijana.

Watu kama Abraham, Timor Warner, Kai, James, Chilwell hawa wote lazima awafanyie mafunzo ya pekee kuwabadirisha wanacheza kwa kubahatisha. Hawajiamini na bado wanahitajika kujengwa na kuwaingiza kwenye mfumo wa team ya chelsea maana bado wanajichezea tu wajuavyo game moja kwenda nyingine.
Sure mkuu hyi ni hakika sana Timo bado anawenge ila mie kwangu bado ni MSHAMBULIAJU MZURI SANA KUNA KITU NAHIS ANAKOSANA KAI NAONA KAMA ANAKUJA BEN HAJIAMINI BUT NI KIJANA MZURI ILA KIAS UPEPO WA MWAMBAO UNAPULIZA VIZR
 
12 cleansheets for Timo Werner.
Edwin Van Der Sar holds the current record with 14 consecutive cleansheets.
Werner is coming close..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
If anyone was wondering why Ziyech wasn't playing. 👉 "We had a normal process of a recommendation [from the medical staff] and we had some words that he (Ziyech) is in a personal overload in the last five weeks. He has a history to be a risk for injury when he plays for five weeks of overload. That’s why, the pure physical recommendation of the staff was for him to not play more than 30 minutes. We offered him a full break to not be on the bench and even play 30 minutes and he said okay, let’s do the break now and we can start using him again next week full-on. Let’s give him the break now because what will we do if we lose someone after 15 minutes and lose the opportunity for an offensive change and that was the only reason." - Tuchel after the game.
 
Speaking after the match, Tuchel further hepaed praise on Alonso.

"We had a reason. It wasn’t that we were unhappy with Chilly, absolutely not. We opted for a bit more size for defending set-pieces, and I know from the time of Antonio Conte Marcos is used to playing this role. He has good timing for arriving in the box,"

"We are very happy he could score the second goal which finished the game. It’s not easy when you haven’t played for a long time, but he did very well,"
 
Kidogo sana, team ili poteza hali ya ushindani wakati wa Lampard hasa wachezaji wakongwe walimletea mgomo Lampard ila bado mno hatuna taem ya kushindana na taem ngumu.

Bado Tuchel anatakiwa kuunda team kwa maana kulineup patterns za wachazaji na jinsi ya kuwatumia kutegemea team. Pia bado anatakiwa kuanza individual coaching hasa kwa wachezaji vijana.

Watu kama Abraham, Timor Warner, Kai, James, Chilwell hawa wote lazima awafanyie mafunzo ya pekee kuwabadirisha wanacheza kwa kubahatisha. Hawajiamini na bado wanahitajika kujengwa na kuwaingiza kwenye mfumo wa team ya chelsea maana bado wanajichezea tu wajuavyo game moja kwenda nyingine.
Hapo mtoe chilwell na james Hawa wapo level ya ushindani kabisa ni rotation tu inatakiwa Ili nao wapumzike
 
Wakuu hongereni wote kwa ushindi dhidi ya Burnley pia kwa mpira mzuri unaoonyeshwa inapendeza sana. Lakini nadhani tunapaswa tutambue jambo moja kikawaida karibia timu zote anapokuja kocha mpya huwa zina kawaida zinafanya vizuri kutokana na wachezaji kujituma ili kumshawishi kocha na kama mnavyojua Tuchel bado hajapata 1st eleven kama mtaona katika hizi mechi kabadilisha wachezaji wengi so it happen kwa sasa kuwa na matokeo kama haya nadhani tusiwe na over expectation juu ya tunachokiona kwa sasa mpaka kufikia kusema tunaweza challenge EPL hilo kwa sasa tulitoe. Kwa sasa kila mchezaji ana hype ili amshawishi kocha kumpanga mechi ijayo.

Nadhani kadri muda uendavyo tutazidi kuona mengi katika hayo mengi itapendeza tukiwa na matokeo mazuri hata kama yakitokea mabovu yatupasa kua na subira kwa sababu nawajua vizuri fan wenzamgu wa Chelsea.
 

Rasmi sasa:

Oliver Giroud, Marcos Alonso, Billy Gilmour na Tino Anjorin ambao awali walikuwa waondoke Chelsea sasa wanabaki baada ya kupata uhakika wa kucheza. Frank Lampard kocha wa Chelsea aliyesimamishwa kazi hivi karibuni aliwanyima kabisa muda wa kucheza wachezaji tajwa hapo juu wakati wa uongozi wake.
Hayo yamekuja baada ya Tuchel kuiomba bodi iwape muda wa kukijaribu kikosi kizima hadi mwisho wa msimu


1612280061654.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom