Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nadhani kocha anawapa nafasi waliokosa kucheza under Lampard. Nategemea kumuona Tomori soon. Sijawahi kumwelewa Lampard kumnyima hata michezo ya kawaida. Jamaa ni mzuri sana!
Tomori kashauzwa AC Milan mkopo baadaye watamnunua kwa mil 25
 
Marcos Alonso GOAL 2:0
Screenshot_20210131-165128~2.jpg
 
Ile push ya kutafuta magoli na kuacha useless backpasses naona kocha kaifanyia kazi. Naona kuna morale.

Pia inaonekana kocha anajua kuchanganya wachezaji. Hii inatoa matumaini in case of injury hakutakuwa na maumivu sana!
Nimependaa james alivocheza dakika alizoingia

Wachezaji naona wameamua
 
Nimependaa james alivocheza dakika alizoingia

Wachezaji naona wameamua
James ni defender anayeshambulia sana. Huwa anajisahau wakati mwingine ananogewa na mashambulizi na kuna muda huwa inatugharimu sana. Naona kaamua kumpa rungu. Sema alikuwa anasita kunyoosha. Ana physique nzuri so akinyoosha kipa anakaa mguu sawa!
 
kwenye huu mfumo wa leo wa 3-4-3 Alonso na Reece wanafaa sana kwa sababu wanacheza kama Wing-backs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom