Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea Out for January Window Ended 2 Feb 2021

  1. Charlie Brown (MK Dons)​

  2. Lucas Piazon (Braga)​

  3. Danny Drinkwater (Kasimpasa) Loan​

  4. Fikayo Tomori (AC Milan) Loan​

  5. Baba Rahman (PAOK) Loan​

  6. Jack Wakely (Brighton) Loan​

 
Watatu hawa kumridhi Lampard, Mazungumzo ya kumtimua yameanza
Madai ni kwamba Lampard kapewa muda na hakuna hata dalili za mbinu zake kuleta matunda yeyote pale darajani

  1. Tuchel - Katika timu kubwa alishaifundisha Dotmund miaka miwili na PSG miaka miwili na nusu ligi ya wakulima wining %age ni 74 akiwa PSG
  2. Allegri amefundisha muda mrefu vitimu vidogo, Juve kifundisha miaka 5 na wining %age ya 70% akiwa Juve
  3. Avram Grant - Hana uzoefu wowote zaidi ya kuifundisha Chelsea 2007/8 na Westham 2010/11. Hakutoka Chelsea vizuri kwani wachezaji hawakumpenda kwa sababu ufundishaji wake ni wa kizamani mno miaka 25 iliyopita na hakuwa na mbinu zozote za kisasa kwa wakati huo wa 2007/8. Sasa tuko 2021, si atakuja na mbinu za miaka 40 iliyopita?
Mkuu Allegri kaifundisha AC Milan na scudeto kawapa si wa mchezoo
 

Chelsea Out for January Window Ended 2 Feb 2021

  1. Charlie Brown (MK Dons)​

  2. Lucas Piazon (Braga)​

  3. Danny Drinkwater (Kasimpasa) Loan​

  4. Fikayo Tomori (AC Milan) Loan​

  5. Baba Rahman (PAOK) Loan​

  6. Jack Wakely (Brighton) Loan​

Huyu Baba Rahman atarudi lini bridge? Kila msimu yeye ni mkopo tu..dah maisha haya!!
 
[emoji3]
insta_2501229929142071419.jpg


Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Predicted winner = Chelsea 2-0
Predicted Line up
Formation = 3-4-2-1

Giroud

Pulisic ----------Ziyech

Alonso -----------Gilmour------------------Kante------------------Odoi

Silva ---------------- Rudiger ---------------------Azpilicueta

Mendy
 
Predicted winner = Chelsea 2-0
Predicted Line up
Formation = 3-4-2-1

Giroud

Pulisic ----------Ziyech

Alonso -----------Gilmour------------------Kante------------------Odoi

Silva ---------------- Rudiger ---------------------Azpilicueta

Mendy
Ndiyo ndoto uliyoota siyo. Unadhani Jose anafungwa 2 0 kirahisi eee. Kikosi chetu bado ndiyo ila pointi zetu za kutuhakikishia top 4 mnazo.
 

@Cash Money Forever


EPL 20/21 - TOP 4

1. Liverpool FC (Klopp System)

2. Manchester UTD (Bruno Impact)

3. Manchester City (Pep Tactics)

4. Chelsea FC (?????)
Klopp hawezi kuchukua hata kikombe cha mbuzi anapokuwa na changamoto hata moja tu. Anahitaji kuwa na kikosi cha dunia mechi zote za msimu ndiyo achukue kikombe kimoja (epl ama ucl).

Mtoe hapo kwenye namba moja.

Pia hapo kwenye namba nne tayari pana mwenyewe, simuoni hapo. Respect Jose.
 
Predicted winner = Chelsea 2-0
Predicted Line up
Formation = 3-4-2-1

Giroud

Pulisic ----------Ziyech

Alonso -----------Gilmour------------------Kante------------------Odoi

Silva ---------------- Rudiger ---------------------Azpilicueta

Mendy
Mzee wangu kikosi kizuri Ila hapo Kwa gilmour .....panamfaa kovacic czan km Kwa performance yake adropiwe kirahisi hvyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom