We uliona backpass mkuu??Alikuwa anakabwa na mabeki 2. Issue ni wengine kushindwa kutumia hiyo kama loophole. Halafu kocha mpya anatakiwa kufanyia kazi pressing. Ukiacha Mount na Odoi, James na Kante kwa uchache wengine hawana ile pressure kuelekea kwenye box la adui.
Timu iachane na backpasss, hazilipi. Ball possession ni nzuri ila ball possession by back passing ni moot!