juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Sijampinga tuchel, tuchel ni mtu sahihi kwetu, nimejaribu kuelezea hali ilivyokuwa based na articles zinavyosemaHivu kocha ana ubora gani mpaka mnamtaja kiasi hicho. Huyo kocha ndio angekuja kufail mara 4 ya Lampard. Ipo siku nitamuelezea kwa undani.
Tuchel ndio mtu sahihi darajani niamini mimi.
Nagelsman huenda angepita njia ile aliyopita frank na AVB na tungemuona mbovu