Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Petr Cech kumbe alishapata fitness ya kutosha kwenye U23 team? Imebaki tu kupewa Minutes na Tuchel

1612003909059.png
 
3 Summer signing for Tuchel
  1. Dayot Upamecano (CB) - Leipzig
  2. David Alaba (CB, LB) - Bayern Munich
  3. Erling Haaland (Striker) - Borussia Dortmund
Bado mnawaza kusajili, hamjakoma tu? huyu Werner mungu anamuona[emoji3][emoji3]
 
Tuchel yuko vzr, huwezi mfananisha na chizi Lampard
Lampard ni nani? Kuwa na shukrani wewe. Hata kama hakuifikisha timu ilipotarajia kuwako mpaka sasa, Lampard kafanya kazi nzuri sana. Rudi nyuma alikoitoa timu utajua. Anyway binadamu ndivyo tulivyo!
 
Tatizo la Lampard kubwa alishaingia kwenye msuguano na wachezaji, Hata Mou katupa makombe lakini ilipofika kwenye ugomvi na wachezaji alipotea, 2016 Chelsea na ubora wake ilishika namba 10
 
Mkuu Lampard kama mchezaji sina tatizo nae ila Lampard kama kocha hakufanya chechote pale Chelsea
 
Tatizo la Lampard kubwa alishaingia kwenye msuguano na wachezaji, Hata Mou katupa makombe lakini ilipofika kwenye ugomvi na wachezaji alipotea, 2016 Chelsea na ubora wake ilishika namba 10
Ninachokataa ni simple. rudia tu kusoma nilichoandika utanielewa!
 
Lampard ni nani? Kuwa na shukrani wewe. Hata kama hakuifikisha timu ilipotarajia kuwako mpaka sasa, Lampard kafanya kazi nzuri sana. Rudi nyuma alikoitoa timu utajua. Anyway binadamu ndivyo tulivyo!
Kaitoa wapi timu? aliipandisha daraja au? mpuuzi mmoja tu yule.
 
Ninachokataa ni simple. rudia tu kusoma nilichoandika utanielewa!
Mimi nakuunga mkono ndg, Lampard kwa uchanga wake kwenye ukocha kafanya vizuri mwaka wake wa kwanza. Kaikuta timu ikiwa kwenye BAN, mchezaji muhimu kama Hazard kaondo. Timu ilikuwa imepwaya. Kaweza kuunga unga timu kwa kutumia academy na kuleta matokeo mazuri ambayo kila shabiki na managementi nzima ya Chelsea waliridhika. Msimu huu kavuruga kwa kukosana na wachezaji mpaka wakaanza kumgomea kucheza vizuri.
 
Kupigwa kwa Manure na She United na Kupigwa kwa Everton na Newcastle United ni salamu kuwa kipindi hiki lolote laweza kutokea kwa timu yeyote
 
Mimi nakuunga mkono ndg, Lampard kwa uchanga wake kwenye ukocha kafanya vizuri mwaka wake wa kwanza. Kaikuta timu ikiwa kwenye BAN, mchezaji muhimu kama Hazard kaondo. Timu ilikuwa imepwaya. Kaweza kuunga unga timu kwa kutumia academy na kuleta matokeo mazuri ambayo kila shabiki na managementi nzima ya Chelsea waliridhika. Msimu huu kavuruga kwa kukosana na wachezaji mpaka wakaanza kumgomea kucheza vizuri.
Hii ni fair analysis.
 
Mkuu, japo tulifungiwa usajili ila hatukuwa na kikosi kibaya

kwa kutumia wachezaji wale, kocha yeyote mzuri angefanya alichokifanya Lampard na zaidi
Umeongea vizuri, mana kwenye kikosi alichokabidhiwa lampard kilitoka kubeba FA kama sikosei, mchezaji mmoja tu ndio aliuzwa Hazard. Sasa mtu anaposema alitutoa tulikua wabovu nakua simuelewi.
 
Kwa wanaojua mpira, Hazard kuondoka ilitosha kuvuruga ile timu ya Europa. Manure kaja mchezaji mmoja tu sasa wako kilelen9i mwa ligi, Akiondoka Bruno Hakuna timu pale. So Chelsea aliyokabidhiwa Lampard ilikuwa mbovu bila Hazard. Yeye pekee ndie aliyekuwa na uwezo wa kufikisha double dijits kwenye magoli na Assists. Mpaka sasa hatuna mchezaji mwenye uwezo huo ndio maana tunasota huku mid table. Chelsea ya Europa ilijengwa kwenye cornerstone ya Hazard. Ukweli ndio huo ndg. Hata urembe namna gani Chelsea Ya Europa na ile aliyokabidhiwa Lampard ni tofauti kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom