Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hiyo case ya umaliziaji ni tatizo sugu tangu enzi za Lampard pass milioni hakuna goli, crosses milioni hakuna goli.

TT anatakiwa alifanyie kazi kwa haraka, magoli yapatikane.
Yani kwa mpira wa jana timu ilikuwa shapu sana,odoi anamwaga maji lakini mmaliziaji tatizo,pale angekuwa dany Ings,jimenez au imobile goli zilikuwa nyingi

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo case ya umaliziaji ni tatizo sugu tangu enzi za Lampard pass milioni hakuna goli, crosses milioni hakuna goli.

TT anatakiwa alifanyie kazi kwa haraka, magoli yapatikane.
Ila wakiendelea kucheza kwa kiwango kile, Werner atafunga magoli mengi, Havertz, Odoi, Ziyech, Mount hata Kova atafunga. Pulisic jana bado yuko yuko tu, OG kasi itamshinda ya TT
 
'I wanted Kante in my team for many years'

- Tuchel happy to finally work with French star at Chelsea

1611811578692.png
 
Tuchel adai anammind sana OG, tutegemee atampa mechi nyingi zaidi ya Tammy na Werner
 
Tuchel 'very happy' with Chelsea debut despite goalless draw vs Wolves​

"I enjoyed it a lot because I was very happy with the intensity, the attitude, energy and quality of my team, we were well organised, had a lot of ball recoveries in the last third, never lacked intensity," Tuchel explained to BBC Match of the Day after the final whistle.

'We stepped up minute after minute in the second half. I was very happy performance-wise, unfortunately we couldn't score, if we take care of our performance like this the results will come.
 
Chiwell alikua anafanya kusudi. Akiona vipi amfuate Lampard alipokwenda.
 
Hiyo case ya umaliziaji ni tatizo sugu tangu enzi za Lampard pass milioni hakuna goli, crosses milioni hakuna goli.

TT anatakiwa alifanyie kazi kwa haraka, magoli yapatikane.
Hiv uliona namna wolves walivyokuwa wanakaba ukiangalia kikosi Chao walicheza bila striker wote wanarudi nyuma na kubana space zote kwa style hiyo goal lingetokea wapi? Ifike kipindi tuwaheshimu wapinzani lakini pia kipa wao kawaokoa alifanya wonderful saves
 
Tuchel 'very happy' with Chelsea debut despite goalless draw vs Wolves​

"I enjoyed it a lot because I was very happy with the intensity, the attitude, energy and quality of my team, we were well organised, had a lot of ball recoveries in the last third, never lacked intensity," Tuchel explained to BBC Match of the Day after the final whistle.

'We stepped up minute after minute in the second half. I was very happy performance-wise, unfortunately we couldn't score, if we take care of our performance like this the results will come.
Hakuwa chaguo namba moja
Screenshot_20210128-114426.jpg
Screenshot_20210128-114451.jpg
Screenshot_20210128-114600.jpg
 
Tuchel adai anammind sana OG, tutegemee atampa mechi nyingi zaidi ya Tammy na Werner
Hii inaweza kuwa hali kuweka mazingira sawa
Ila kiuhalisia werner ndie atakayetumika sana labda awe anazingua

Sababu mojawapo ya kutafuta german coach ilikuwa ni kuweza kuwarudisha katika viwango vyao werner na havertz
 
Alikuwa anakabwa na mabeki 2. Issue ni wengine kushindwa kutumia hiyo kama loophole. Halafu kocha mpya anatakiwa kufanyia kazi pressing. Ukiacha Mount na Odoi, James na Kante kwa uchache wengine hawana ile pressure kuelekea kwenye box la adui.

Timu iachane na backpasss, hazilipi. Ball possession ni nzuri ila ball possession by back passing ni moot!
 
Hii inaweza kuwa hali kuweka mazingira sawa
Ila kiuhalisia werner ndie atakayetumika sana labda awe anazingua

Sababu mojawapo ya kutafuta german coach ilikuwa ni kuweza kuwarudisha katika viwango vyao werner na havertz
Alichemka sana kumweka benchi Mount. Kwa sasa Chelsea inamtegemea sana Mount kwa kusukuma mashambulizi. Unaona tofauti kabisa alipoingia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom