Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpira ungekuwa uko hivyo basi kuna timu zingekuwa azishindi bro

Villa tumedraw nae, je we villa alikufunga ngapi na we ukaja kunifunga ngapi,

Soccer ni chance na pale unapozitumia unakuwa na probability ya kushinda na pale unaposhindw kuzitumia unaprobability ya kulose hiyo game
Mpira uko hivyo na pia mpira hauko hivyo. Hii ni ishu ya pande mbili zinazocomplement each other, hazipingani.

Arsenal katika games nane tulizopoteza tulifungwa na mtu wa chini, aliyekua juu akatufunga pia..

Kisha aliyezifunga hizi timu mbili akatufunga pia. Inategemea unachotaka kuprove.
 
Unalinganisha squad depth ya city na wolves?

Squad depth ya city inafaa kufananishwa na chelsea tu kwa uingereza.
Sifananishi squad depth, ila alternativ ya kucheza bila striker wako
Wamespend 30M kwa fabio silva, walikuwa na cutrone

Ila round 1 wametufunga na kikosi hicho hicho tofaut iliyokuwepo ile siku alianza fabio silva badala ya traore
 
Burnley kampiga villa tatu leo. Na alianza kuongozwa.

Nyinyi mlimpiga ngapi villa?
Kwa nini uzungushe, wewe mahesabu yalikuwa yanakutoa knockout
Burnley tulimfunga 3-0 nyumbani kwao akija darajani na kocha mpya goli 5-0
 
Sifananishi squad depth, ila alternativ ya kucheza bila striker wako
Wamespend 30M kwa fabio silva, walikuwa na cutrone

Ila round 1 wametufunga na kikosi hicho hicho tofaut iliyokuwepo ile siku alianza fabio silva badala ya traore
Leo Silva na Otasowie hawajaingia kabisa. Otasowie alikua crucial katika ushindi wa siku ile.
 
Chelsea ya wadada msimu huu ina balaaa mnoo...

Hata hawa kina kai wenu sidhani kama wanatoka kw wale kin kerr[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo Silva na Otasowie hawajaingia kabisa. Otasowie alikua crucial katika ushindi wa siku ile.
Hiyo ni gameplan ya kocha, anapohisi anataka nini kwenye mech husika

Leo aliingia kwa ajili ya kudefenc na akafanikiwa kwa hilo
 
Burnley kampiga villa tatu leo. Na alianza kuongozwa.

Nyinyi mlimpiga ngapi villa?
Speculation za ajabu kweli😀...kwahyo Namibia kule Cameroon ni hatari kwelikweli coz wametoka suluhu na Zambia aliyetufunga sio😀
 
Speculation za ajabu kweli😀...kwahyo Namibia kule Cameroon ni hatari kwelikweli coz wametoka suluhu na Zambia aliyetufunga sio😀
Huwezi amini sijakuelewa. Ama ni maelezo hayajanyooka au hizo emoji.
 
Hongera Shefield United kwa kuwafunga United mwenzako
 
Chelsea ya wadada msimu huu ina balaaa mnoo...

Hata hawa kina kai wenu sidhani kama wanatoka kw wale kin kerr[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huwafuatilii, misimu yote wako moto, katika miaka 7 ya hayo mashindano ya ligi ya EPL wanawake Chelsea kabeba ndo mara 4 na mwaka huu akibeba ni mara ya 5,
Katika miaka hiyo saba wengine waliobeba ni Liverpool mara 1, Man city mara1 na Arsenal mara 1

2013/14 - Liverpool
2014/15 - Chelsea
2015/16 - Man city
2016/17 - Chelsea
2017/18 - Chelsea
2018/19- Arsenal
2019/20 - Chelsea
2020/21 - Chelsea???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom