Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,413
- 77,311
Notice kwamba hapo Wolves ina majeruhi.Hatuwezi sema ni fair, ila ndio kwanza tuchel amekuwa na wachezaj within 24hr, wolves sio west brom, au luton, wote tunajua jins wolves walivyo
Notice kwamba hapo Wolves ina majeruhi.Hatuwezi sema ni fair, ila ndio kwanza tuchel amekuwa na wachezaj within 24hr, wolves sio west brom, au luton, wote tunajua jins wolves walivyo
HahahahahahahahahaHuu mpira wa kupiga pass nyingi mpaka kwenye 18 kufunga ni ngumu.
Baada ya kuingia?akafanya nini?Hapo aingie Abraham, tunapata goli
Leo wamecreate chances nyingi bahati ya kufunga hakuwa upande wetuTimu inacheza vizuri nyuma mpaka katikati, ugumu upo kwenye kupenetrate katikati kwenda lango la adui kufunga magoli.
Wolves wamebana sana, wana defence vizuri sana
Nani mwingine ukimtoa jimenez aliyeumia katika mech yenu utasema ni player wao muhimu??Notice kwamba hapo Wolves ina majeruhi.
Burnley kampiga villa tatu leo. Na alianza kuongozwa.Biashara ianze kwa Burnley
Katika wote nilimlenga huyo kwakua ndiye forward wao wa kuaminika. Traore asingekaa kule kama SSNani mwingine ukimtoa jimenez aliyeumia katika mech yenu utasema ni player wao muhimu??
Mpira ungekuwa uko hivyo basi kuna timu zingekuwa azishindi broBurnley kampiga villa tatu leo. Na alianza kuongozwa.
Nyinyi mlimpiga ngapi villa?
Anamech ngapi amekosa sasa?? Ingekuwa ni mech yetu ya leo tu tungesema wolves wanammis jimenez ila pale inapovuka 10games najua tim huwa ishazoea kucheza bila yeyeKatika wote nilimlenga huyo kwakua ndiye forward wao wa kuaminika. Traore asingekaa kule kama SS
Ndio kwanza tuchel kafanya nao training ndani ya siku 1 ila kuna vitu vimeonekana katika uchezaj wetuLeo tumecheza vizuri Sana team inafanya movement za haraka sio Kama Lampard na Ina press vizuri Sana tumedominate mpira kwa kiasi kikubwa tumeshambulia Sana kiufupi bahati haikuwa yetu wolves hawana hata on target 1 zaidi ya kukaba tu na kipa wao amewaokoa Sana na ndio kwa mtazamo wangu anafaa kuwa man of the match.
Shida aliyonayo ipi? ndio kwanza kachukua timu jana. Hilo swala la plan B, C litakwepo tu. Kwa jins chelsea walivyocheza tu inaonyesha TT ni bora mara 800 kuliko kubwa jinga Lampard.Wamecheza vizuri, ulegevu leo haukuwepo, wamekuwa sharp kurecover mpira ukipotea. Hata Havertz leo kachangamka. Shida aliyonayo Tuchel ni kutotumia mbinu zile haramu kama counter na long balls njia za kawaida zilifeli kuleta matokeo. Pep na Mancity hata waposess 90%, wakipata mwanya wa counter wanaitumia vizuri sana hata Liverpool nao wanatumia sana counter. Ni Chelsea tu wamewaiga Arsenal
Unalinganisha squad depth ya city na wolves?Anamech ngapi amekosa sasa?? Ingekuwa ni mech yetu ya leo tu tungesema wolves wanammis jimenez ila pale inapovuka 10games najua tim huwa ishazoea kucheza bila yeye
Ni sawa sawa na city wanagame nyingi tu msim huu wanacheza bila aguero n jesus ndio ila angalia matokeo wanayoyapata, makocha huwa wanatafuta alternativ ya kucheza bila flan hasa pale wanapokosekana kipindi kirefu