Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Thomas tuchel ni Kocha mwenye uwezo mdogo na mbinu ndogo jiulizeni kafundisha PSG na wachezaji waviwango vya dunia di Maria mbappe Neymar icardi verrati lkn hovyo jiulizeni anakuja Chelsea kumfundisha Abraham karavati kepa Mendy
Hii ni Futuhi.
PSG hata akienda Moyes au Mwambusi kuchukua ndoo lazima
 
In England

Man Utd managers since 1986:
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. José Mourinho
5.Ole

Arsenal managers since 1986:
1. George Graham
2. Bruce Rioch
3. Arsene Wenger
4. Unai
5. Arteta

Chelsea managers since 1986:
1. Bobby Campbell
2. Ian Porterfield
3. David Webb
4. Glenn Hoddle
5. Ruud Gullit
6. Gianluca Vialla
7. Ray Wilkins
8. Claudio Ranieri
9. Jose Mourinho
10. Avram Grant
11. Felipe Scholari
12. Ray Wilkins
13. Guus Hidink
14. Carlo Ancelotti
15. Andre Villas Boas
16. Roberto Di Matteo
17. Rafael Benitez
18. Jose Mourinho
19. Guus Hiddink
20. Sarri
21. Antonio Conte
22. Lampard

More Managers than EPL trophies. Clubs of noise makers.
Poor Chelsea
Arsenal umemsahau yule mwenye upara
 
Chelsey fans earlier this season

Life comes to you very fast
IMG_20210126_141447_672.jpg
 
Chelsey fans earlier this season

Life comes to you very fast
IMG_20210126_141442_657.jpg
 
Haya tumerudi sasa wenye blues yetu,kwa heri lampard,uondoke na likijana lako tammy,tuchel ni wakati sasa wa kumrudisha kante kwenye namba yake
 
Wanangu, mnaniudhi sana mnavosema Kepa atarudi kwenye nafasi yake.

Naomba niwe mkweli, Kepa akirudi bc naacha kushabikia Chelsea rasmi.
Shida ya timu zilizoanza 2012 hiz, eti naacha!!!
Mashabik wake wana utoto sana, na mara nyingi comments zao za kipumbavu sana, sina maana kama nyie ni wapumbavu. No

Timu kubwa golin ata akikaa mpoki atuachi kushabikia
 
Chilwel sidhan kama anatia shaka kule kushoto hakuna upinzani
Alonso ashajifia tangu wakati wa sarri,

James mapungufu yake ni kwenye defens akiweza kurekebisha hayo anakuwa mzuri
Maana azplicueta age ishaanza kumtupa mkono.

Mount hii ni hazina, dg anajituma sana, natumai ataendelea kupigania namba na kuwa prove watu wrong
Mount labda arudishwe acheze namba nane ila kumi pale hakuna kitu anajituma ila hazalishi kitu Sasa namba kumi huna mechi zaidi ya kumi huna assist wala goli
 
Mchezaji anaeweza kujiangusha kama Neymar au?? Wachezaji zaid ya Di maria chelsea wapo, ishu ilikua kocha, mana kama Zieych,Timo,Pulics ni wachezaji wazur kuliko hat huyo Di maria wako. Huyo Di maria akija chelsea hapati namba.Nachokiona Tuchel anakuja kuchukua ujiko tu mana wachezaji wapo tena wazur kuliko PSG yenye wachezaji wawili Mbape na Neymar.
Kweli mzee pilisic ni dimaria watano
 
Jamaa kashaanza kuwapigisha tizi vijana ila inasemeka mount hajaonekana hata akitabasamu kipindi chote cha tizi wakati huo joginho akionekana kufurahi Sana pamoja na kepa
IMG_20210126_214921_568.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Msije mkaanza kusema mara oooh! Alikuta Wachezaji wazuri, mara ooh! Ashukuru timu inavijana wengi .... Hatutaki maneno ya wakosaji baadae
 
Chelsea huu utaratibu wa wachezaji kufukuzisha makocha ni wa kawaida kwao.

Hata Lampard kashiriki hizi mambo akiwa mchezaji.

Lakini kwa Lampard, itakuwa ni performance ndo imemwondoa.
Performanec mbovu ilisababishwa na nini? Utarudi mgomo baridi wa wachezaji kwa hiyo kafukuzishwa na wachezaji
 
Mount labda arudishwe acheze namba nane ila kumi pale hakuna kitu anajituma ila hazalishi kitu Sasa namba kumi huna mechi zaidi ya kumi huna assist wala goli
Timu yote ilioza, ikifufuka mtamuona the real Mason Mount
 
Mimi nilipenda Lampard angevumiliwa hadi mwisho wa msimu na kama katupa top 4 au UEFA apewe msimu mwingine ili azoee EPL ila pia FL kufukuzwa ilikuwa ni lazima, kocha ukishaingia kwenye mgogoro na wachezaji usio na tija na timu hakuna njia nyingine ni sacking tu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mimi nilipenda Lampard angevumiliwa hadi mwisho wa msimu na kama katupa top 4 au UEFA apewe msimu mwingine ili azoee EPL ila pia FL kufukuzwa ilikuwa ni lazima, kocha ukishaingia kwenye mgogoro na wachezaji usio na tija na timu hakuna njia nyingine ni sacking tu.
Malengo ya msimu huu ilikuwa ni kuchallange ubingwa na si kuitafuta top 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom