Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimejirabu kusoma baadhi ya article kutoka the athletic,daily telegraph na goal.com
Ukitoa sababu ya matokeo kuwa mabovu kuna issue nyingi zimeelezwa kuanzia kwenye usajili mpk mgogoro uliopo ndani ya wachezaji
Tukianzia kwenye usajili, katika wachezaji waliosajiliwa ni ben chilwel tu ndie mchezaj frank lampard ilikuwa target yake na target zake zingine alizozitaka hakupewa like declan rice,tarkowski, lampard aliendea kuiambia bors kuwa anamtaka declan rice ila bord haikulitaka hilo swali kwani iliona ni kitu ambacho hakiwezekan hiv mtoto aliyetemwa kutoka academy halaf leo hii arudi kwa hela kubwa,

Kwenye migogoro, inaelezwa kuwa baadhi ya senior player wakiongozwa na alonso,rudiger,jorginho,kepa, emerson hawakupendezeshwa na wao kukaa benchi na kukosa mda wa kucheza hii ilifikia hadi hatua ya kuwepo minongono kuwa lampard anawapendelea academy player mpk lampard taarifa hizi akizapata

Katika kitu ambacho bodi ya chelsea inabidi ikitatue ni kuskiliza player power,
Wachezaji hawataki kuwa na maamuzi kwa kocha,
Kingine squad yetu iko too big kumanage, na ni ngumu all 27 player kupata game time.
 
Jamaa kashatua LONDON, muda wowote tutatangaziwa
Line up ya Tuchel

4-2-3-1

Werner

Pulisic ------------ Havertz ----------- Ziyech

-----------------Kovacic ------ Kante----------------

Chilwell --- Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

AU

4-3-3

Kovacic ------ Kante ------ Mount

3-5-2

Tammy ---- Werner

Chilwell ------ Kovacic ------ Kante ------ Mount --- -James

Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

3-4-3

Chilwell ----- Kovacic ------ Kante ------ James

Au
4-1-4-1

-------------------------- Werner------------------------

Pulisic ----- Mount ------Ziyech ------ James

---------------------------Kante ------------------------

Chilwell ----Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

Tegemea kumuona kepa akirudi goli
 
Hapo hakuna formation yake.

Hua anatumia 4 2 4.
 
Katika kitu ambacho bodi ya chelsea inabidi ikitatue ni kuskiliza player power,
Wachezaji hawataki kuwa na maamuzi kwa kocha,

Chelsea huu utaratibu wa wachezaji kufukuzisha makocha ni wa kawaida kwao.

Hata Lampard kashiriki hizi mambo akiwa mchezaji.

Lakini kwa Lampard, itakuwa ni performance ndo imemwondoa.
 
Alafu hawa skysports hichi kitendo cha Lampard kufukuzwa naona hawajapenda kabisa labda ni kutokana na Uingereza wake maana kila mda ni habari za Lampard tu.
Pundits wengi wa kingereza hawajafurahishwa

Ila kwa issue ya lampard kufukuzwa naona mashabiki wengi wachelsea tumegawanyika

Wapo waliotaka apewe mda na wapo wanaona ni maamuzi sahihi
 
Chelsea huu utaratibu wa wachezaji kufukuzisha makocha ni wa kawaida kwao.

Hata Lampard kashiriki hizi mambo akiwa mchezaji.

Lakini kwa Lampard, itakuwa ni performance ndo imemwondoa.
Ujue performance inaweza kuwa imemuondoa

Dec 1st tulikuwa top of the table tho ilikuwa kwa mda na mambo yalikuwa yanenda vizuri huky tukicheza 18 games bila kufungwa since tulipofungwa na liver katika gw 2,
Baada ya games ya leeds mambo yakawa tofauti kabisa, na mambo yanapoanza kuwa tofaut unahitaj player wa step up ila ni wachache sana ambao walikuwa wako tayar kustep up

But tukumbuke what goes around comes around
 
Chelsea mnafukuza ovyo makocha.

In England

Man Utd managers since 1986:
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. José Mourinho
5.Ole

Arsenal managers since 1986:
1. George Graham
2. Bruce Rioch
3. Arsene Wenger
4. Unai
5. Arteta

Chelsea managers since 1986:
1. Bobby Campbell
2. Ian Porterfield
3. David Webb
4. Glenn Hoddle
5. Ruud Gullit
6. Gianluca Vialla
7. Ray Wilkins
8. Claudio Ranieri
9. Jose Mourinho
10. Avram Grant
11. Felipe Scholari
12. Ray Wilkins
13. Guus Hidink
14. Carlo Ancelotti
15. Andre Villas Boas
16. Roberto Di Matteo
17. Rafael Benitez
18. Jose Mourinho
19. Guus Hiddink
20. Sarri
21. Antonio Conte
22. Lampard

More Managers than EPL trophies. Clubs of noise makers.
Poor Chelsea
😂😂😂
 
Hata Real madrid wamefukuza makocha wengi tu mbona

Kuna tim hazina kuvumiliana na makocha, wanaangalia maslah, na mikataba ya kibiashara watakayokosa
 
Ujue performance inaweza kuwa imemuondoa

Dec 1st tulikuwa top of the table tho ilikuwa kwa mda na mambo yalikuwa yanenda vizuri huky tukicheza 18 games bila kufungwa since tulipofungwa na liver katika gw 2,
Baada ya games ya leeds mambo yakawa tofauti kabisa, na mambo yanapoanza kuwa tofaut unahitaj player wa step up ila ni wachache sana ambao walikuwa wako tayar kustep up

But tukumbuke what goes around comes around

Na tajiri hana uvumilivu, fasta tu unakaa kaa ovyo anakusepesha.
 
Kwa hii formation kwa uingereza haiwezekani inahitaji 2 dm wa nguvu
Ndiyo maana alipigwa kaunta nyingi sana na united, Rashford alikua hovyo ila ilitakiwa washinde nyingi.

Yeye anacheza 4 2 4 huku anatumia attacking fullbacks. Forward ya united ikawa inajikuta na CB wawili tu na kipa
 
Ngoja tuone kipi atakacholeta.
 
Mm ni mmoja wao nilipenda sana Lampard afukuzwe ila baada ya kufukuzwa nimemuonea huruma sana. Hii ni kutokana na yale amefanya akiwa mchezaji
Pundits wengi wa kingereza hawajafurahishwa

Ila kwa issue ya lampard kufukuzwa naona mashabiki wengi wachelsea tumegawanyika

Wapo waliotaka apewe mda na wapo wanaona ni maamuzi sahihi
 
Hiyi orodha ya Chelsea
In England

Man Utd managers since 1986:
1. Sir Alex Ferguson
2. David Moyes
3. Louis Van Gaal
4. José Mourinho
5.Ole

Arsenal managers since 1986:
1. George Graham
2. Bruce Rioch
3. Arsene Wenger
4. Unai
5. Arteta

Chelsea managers since 1986:
1. Bobby Campbell
2. Ian Porterfield
3. David Webb
4. Glenn Hoddle
5. Ruud Gullit
6. Gianluca Vialla
7. Ray Wilkins
8. Claudio Ranieri
9. Jose Mourinho
10. Avram Grant
11. Felipe Scholari
12. Ray Wilkins
13. Guus Hidink
14. Carlo Ancelotti
15. Andre Villas Boas
16. Roberto Di Matteo
17. Rafael Benitez
18. Jose Mourinho
19. Guus Hiddink
20. Sarri
21. Antonio Conte
22. Lampard

More Managers than EPL trophies. Clubs of noise makers.
Poor Chelsea
 
Ndio maana Bielsa wa Leeds anafumuliwa kila siku eti Epl anaweka kiungo mmoja katikati yule Phillips
Ndiyo maana alipigwa kaunta nyingi sana na united, Rashford alikua hovyo ila ilitakiwa washinde nyingi.

Yeye anacheza 4 2 4 huku anatumia attacking fullbacks. Forward ya united ikawa inajikuta na CB wawili tu na kipa
 
Jamaa kashatua LONDON, muda wowote tutatangaziwa
Line up ya Tuchel

4-2-3-1

Werner

Pulisic ------------ Havertz ----------- Ziyech

-----------------Kovacic ------ Kante----------------

Chilwell --- Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

AU

4-3-3

Pulisic ------------ Havertz ----------- Ziyech

Kovacic ------ Kante ------ Mount

Chilwell --- Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

AU
3-5-2

Tammy ---- Werner

Chilwell ------ Kovacic ------ Kante ------ Mount --- -James

Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

AU

3-4-3

Pulisic ------------ Havertz ----------- Ziyech

Chilwell ----- Kovacic ------ Kante ------ James

Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

Au
4-1-4-1

-------------------------- Werner------------------------

Pulisic ----- Mount ------Ziyech ------ James

---------------------------Kante ------------------------

Chilwell ----Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------
Havertz yupi tena jamani wakati tumekubaliana awe Mount.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom