Huyu ndio kocha bana, atafutwe kocha wa muda apewe kazi ya ucare taker mpaka mwisho wa msimu ndio tushushe hichi kifaaView attachment 1686343
So lini mtaanza kuifunga Arsenal?Habari ya kufukuzwa lampard inanifurahisha Sana
Nyie asenal muanze kujipanga tutawabutua hamtaamini
Mlizoa lampard anapiga nyuma tu paso mbili mbele wamerudisha nyuma
Yani zouma anapiga pass nyingi na Mendy![]()
Fanya vyovyote Mason Mount abakie..! Lakini pia Chilwell na James wanatia shakaKwanza kocha ajae anayo kazi kubwa ya kupandisha viwango vya wachezaji:-
Kante
Werner
Pulisic
Harvetz
Kovacic
Joginho
Mfumo wa 4-2-3-1 utakuwa mfumo mzuri kwa wachezaji hawa walioshuka viwango kwa kucheza kwenye nafasi zao wanazozipenda kwa comfortable zaidi kuonyesha makali.
Hata SUB zilizopo nje zinaingia moja kwa moja kwenye mfumo.
Mfumo wa 433 ni mfumo wa kupeana lawama tuu pale katikati Kante, Kovacic, Joginho, Mount
View attachment 1686349
Kuna watu kabisa naona wakianza kusugua benchi
Chilwel sidhan kama anatia shaka kule kushoto hakuna upinzaniFanya vyovyote Mason Mount abakie..! Lakini pia Chilwell na James wanatia shaka
James siyo mlinzi yule kiungo wa pembeni kulinda naona km wanamfoji tu, kante arudi kuwa defense midfield. Mbele kiungo mshambuliaji Odoi aamniwe ila tunahitaji striker wa kufunga magoli magumu(forcing goal striker) atusaidie kutuamulia matokeo ya match ngumu. Giroud hana huo ubora ingawa alikuwa na umbo na height nzuri.Chilwel sidhan kama anatia shaka kule kushoto hakuna upinzani
Alonso ashajifia tangu wakati wa sarri,
James mapungufu yake ni kwenye defens akiweza kurekebisha hayo anakuwa mzuri
Maana azplicueta age ishaanza kumtupa mkono.
Mount hii ni hazina, dg anajituma sana, natumai ataendelea kupigania namba na kuwa prove watu wrong
Hili hawawezi kuliona. Watu ni wanafiki sana.kuna watu humu wasema Tuchel amefeli na PsG ila hawasemi ameshindwa nini..
1. Kachukua makombe yote huko ufaransa ( mtasema ligi rahisi)
2. Kafika fainali uefa na amefungwa na timu bora kabisa Bayern Munich ambayo ilikuwa imetimia kila idara na imetoka kumuwasha Barca goli 8.
3. Mlitaka mafanikio gani zadi ya hayo?
4. Pep Guardiola hajawahi kufika fainali ya uefa akiwa na Bayern na Man city zilizotimia kila idara, mbona hamsemi amefeli!?
Chelsea ina striker gani mwenye magoli kama Mbappe? Ina striker gani kama Icardi?kuna watu humu wasema Tuchel amefeli na PsG ila hawasemi ameshindwa nini..
1. Kachukua makombe yote huko ufaransa ( mtasema ligi rahisi)
2. Kafika fainali uefa na amefungwa na timu bora kabisa Bayern Munich ambayo ilikuwa imetimia kila idara na imetoka kumuwasha Barca goli 8.
3. Mlitaka mafanikio gani zadi ya hayo?
4. Pep Guardiola hajawahi kufika fainali ya uefa akiwa na Bayern na Man city zilizotimia kila idara, mbona hamsemi amefeli!?
Mchezaji anaeweza kujiangusha kama Neymar au?? Wachezaji zaid ya Di maria chelsea wapo, ishu ilikua kocha, mana kama Zieych,Timo,Pulics ni wachezaji wazur kuliko hat huyo Di maria wako. Huyo Di maria akija chelsea hapati namba.Nachokiona Tuchel anakuja kuchukua ujiko tu mana wachezaji wapo tena wazur kuliko PSG yenye wachezaji wawili Mbape na Neymar.Chelsea ina striker gani mwenye magoli kama Mbappe? Ina striker gani kama Icardi?
Chelsea ina LW gani Neymar? Imewahi kua na LW gani kama Neymar?
RW kama Di Maria? Mnaye?
Ni timu ambayo on paper inatakiwa ikufunge goli nyingi. Practically hua inakuaje?
Barca iliyopigwa nane zaidi ya Messi nani alikua lethal? Si ndiyo hayo Barca ikafeli Anfield? Tangu msimu wa kuzingua Anfield Barca ilikua ipo shimoni.
Hiyo fainali umeona PSG ilivyokua inacheza?
Neymar anajiangusha ila ana magoli mengi kuliko LW wenu yeyote au hata St wenu yeyote.Mchezaji anaeweza kujiangusha kama Neymar au?? Wachezaji zaid ya Di maria chelsea wapo, ishu ilikua kocha, mana kama Zieych,Timo,Pulics ni wachezaji wazur kuliko hat huyo Di maria wako. Huyo Di maria akija chelsea hapati namba.Nachokiona Tuchel anakuja kuchukua ujiko tu mana wachezaji wapo tena wazur kuliko PSG yenye wachezaji wawili Mbape na Neymar.
Umemsahau Garry Neville alipewa timu kule Uhispania.Nakumbuka MONACO WALIMPA KAZI TIERY HENRY LAKIN WAKAMFUKUZABAADA YA MECHI 3 AKAONDOKA ULA ALIKUWA ANACHAMBUA SANA KUWAKOSOA MAKOCHA WENGINE YYE AKASHINDWA KUIFUNDISHA NA YYE HUYU MTOTO WA MALKIA NAE AFUKUZWA HANA KIPYA
Frank lampard ni moja katika ya makocha wazuri sana, yupo na
Vision, systematic, intellectual, skills bila kusahau ability
Anajenga timu ambayo naiona itakua tishio sana, trust the process.
Pengine anaweza kujenga timu tishio zaidi ya hii Liverpool ambayo klop alipambana zaidi ya miaka mitatu
Maandazi ya buza au majowe hawawezi kuelewa.
Pep guardiola msimu wake wa kwanza aliharibu sana
Arteta amedakia katika katika ya msimu. Na amefanya maajabu and still he doing fine.
Huyu ni special case tumuacheni kama alivyo
Lazima lampard apewe muda, kufanya kitu. Timu haijengwi kama nyumba kwamba kupandisha tofali tu
Mashabiki wa Chelsea mnatia aibu sana kuanzia matokeo yenu hadi jinsi mnavyofikiria
Eti "lampard atuachie timu" nyie wapuuzi mnachangia nini kwenye club??
Mwingine elimu ya msingi alimaliza kwa nguvu za viboko, et hapa nae anakosoa taaruma ya Frank
Kushabiki Chelsea kuungana na mashabik hawa nayo ni aina nyinge ya kujidhalilisha tu



Badala ya kufurahia wanaumiSijui kwa nini wanateseka na kufukuzwa Kwa Lampard?! Kama Tuchel ni mbovu kuliko Lampard si ndio manatakiwa mfurahie ili muwe mnatufunga kila tukikutana, ila mnateseeeeka mpk huruma.
Mpaka mwezi wa 6 wakijishtukia wapo MilembeUchebe atawafaa kuendeleza pale super Frankie alipoishia ?
Si kweli ndugu zangu ?
Mpaka aje kocha mpya aweke falsafa zake, apate first 11 Yake ,,,Ni March na april huko ,,,, mtapoteana mpaka muombe poo![]()