Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Best of reaction to Lampard sacking​

Manchester City boss Pep Guardiola: "People talk about projects and ideas. They don't exist. You have to win or you will be replaced. I am not judging Chelsea's decision. I respect their decision. But our world is to win as much as possible.

"I hope to see Frank soon and go to a restaurant with him when lockdown is finished."

West Ham boss David Moyes: "I'm disappointed for Frank as I saw him as one of the most up and coming young English managers in the country.

"It's a big thing we try to encourage our own British managers into the big leagues, if we can. I'm sure he'll come back and learn from it.

"He did a great job last year - he did a really good job with so many youngsters coming through the academy. It seemed a little bit harder for him this year. I'm sure he'll take time off, come back and get better."

Leicester boss Brendan Rodgers: "Clearly I'm really sad for Frank and his staff. I know how much the club means to him.

"Looking at the squad and how young they are, they need time. He hasn't been given that time. I really feel for him. He did great at Derby.

"He had the courage to step out of an amazing career and could have taken an easier route. It was a job he couldn't turn down, even though he didn't have a lot of experience.

"Results haven't been what he would have wanted, but I feel it's a job that needed time."

Crystal Palace manager Roy Hodgson: "It saddens me. I thought he did an excellent job last season. I was rather hoping that the idol of the fans and Chelsea legend that he is, he'd get a longer shot than 18 months.

"Managers who have had short stays at Chelsea have gone on to have good careers elsewhere. When you're sacked for the first time, it is a devastating blow. There's no doubt he has a pedigree to be a very good manager."

Scott G: Been a Chelsea fan since Nevin, Speedie and Dixon and admit I've enjoyed all the success money has brought us over the last 20 years. However, there's a sadness about that decision. Some things money can't buy. #SuperFrank

Fil Harris: Isn't the whole point of appointing a younger manager to give him time to build and develop? Craziness from Chelsea to sack Lampard after such a short time.

Simon Kirk: Been a Chelsea fan since 1969 and have never been so annoyed at a sacking of a Chelsea manager. He needed at least another 18 months. Shame on you Abramovich and the Chelsea board for supporting such a decision.

Ryan Howard: I find it such a weird sacking - a month or so ago Chelsea were in a nice groove, Zouma and Silva were scoring and keeping clean sheets, now after one bad run he gets sacked. Chelsea could be a world-class club if they just gave a manager proper time to build a team.

Peter Josi: Chelsea are totally right to sack Lampard, he lacked the experience or coaching prowess to lead the side. The next phase should start with an investigation into our transfer policy and how our last two record signings turned out to be flops.

Thomas Wilson: Why are people surprised Lampard was sacked? Chelsea have been ruthlessly successful for 15 years. They are not going to suddenly resort to being generously unsuccessful because of a club legend being at the helm.
 
Wachezaji watakaofaidika na ujio wa kocha mpya na watakaadhirika pia

Winners: Timo Werner, Kai Havertz, Toni Rudiger and KEPA

Kocha mpya anatoka ujerumani, anaongea kijerumani, tutegemee hao wajerumani wakipewa muda wa kutosha kwenye play minutes labda watuangushe wenyewe. Ktk mechi 15 Werner kafunga goli moja tu tena kwenye FA na kitimu cha mtaani, Havertz yeye kaanza vibaya hadi mechi zingine akawa anawekwa benchi. Rudiger yeye baada ya kurudi majeruhi amekuwa akila benchi na saa nyingine kukosa benchi kabisa

Mchezaji mwingine atakaefaidi ni KEPA, Kepa alifanya vizuri kwenye utawala wa Sarri, ghafla akaanza kufanya vibaya kwenye utawala wa Lampard. Wachambuzi wengi wa soka wadai ubovu wa Kepa unamizizi na ubovu wa Kante, Kovacic, Pulisic, Werner, Havertz, Jorginho
Haiwezekani 90% ya darasa ikafeli halafu tuseme ni wanafunzi vilaza. kule chuo kikuu enzi zangu, lecturer akifelisha darasa zima au kwa asilimia kubwa huwa yeye ndie anaadhibiwa ikiwa ni pamoja na kufukuzwa. Sasa Lampard kushusha viwangi vya wachezaji wote hao maana yake na KEPA yumo na hivyo Lampard na benchi lake la ufundi ndio walikuwa wabovu. Sasa Tuchel kaja tutegemee KEPA atarudi kwenye form yake iliyosababisha zaidi ya mil 70 zilipwe kwa jina lake. Kwa hiyo tutegemee KEPA naye akipewa mechi kubwa kubwa na sio zile zile za FA na Karabao cup tu

Loosers: Mount, Tammy Abraham and Giroud

Mount ni mchezaji mzuri na mwenye kipaji sana kwenye kiungo na ni mchezaji anayeweza kufit takriban kila mfumo. Lampard alimuamini sana kiasi cha kufikia hatua ya kumchosha kwa kumchezesha kila mechi. Tutegemee naye kuingizwa kwenye rotation, sub na saa nyingine kupumzishwa kabisa kwenye mechi zingine. Siku zake za kufanywa mtoto wa mfalme zimefikia ukomo na sasa itabidi kisaikolojia ajiandae kuzoeza benchi na saa nyingi kulala bwenini.

Tammy alishapunguziwa mizigo na FL. Sio kwamba Tuchel atamuacha kabisa ila tutaona akimpunguzia mizigo zaidi na kijitahidi kuinua viwango vya wajerumani wenzake.

Pamoja na kufunga magoli manne kwenye mechi na Sevila, OG umri wake wa miaka 34 utamfanya Tuchell awekeze zaidi kwa vijana wadogop akina Werner na Tammy Abraham. Ningekuwa mimi Giroud ningewahi tu Juve kwa wazee wenzangu

Ushauri
Ili Tuchel afanikiwe na aweze kuwatumia vizuri akina Werner, Kai na hao wengine ni lazima atumie hizi formation mbili
4-1-4-1 au 4-2-3-1
Kocha wa makipa hilario inabidi aondoke na yeye ni jipu, kepa tulikuwa naye wakati wa sarri na alikuwa fresh ila kepa wa lampard alikuwa yuko poor, na mendy nae ukiangalia kiwango chake kilikuw kishaanza kushuka,

Tatizo la makipa shida huenda ikawa inaazia kwa mtu anayewacoach
Wote tunajua jinsi hilario alivyokuwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UKWELI KUHUSU FRANK LAMPARD NA KUFUKUZWA KWAKE
  • Lampard ndie kocha pekee ambaye angeishusha Chelsea daraja kwenda Championship zaidi ya nafasi ya 10 aliyoifikisha MOU 2016
  • Lampard ndie kocha pekee aliyenunuliwa wachezaji wengi na wa ghali kuliko makocha wote wa Chelsea hasa kwenye enzi ya Roman
  • Lampard ndie kocha pekee aliyeshusha viwango vya wachezaji wengi kuliko makocha wengine kuanzia kwa kipa, mabeki, viungo hadi kwa washambuliaji
  • Lampard ndie kocha pekee aliyepata score ndogo kwenye PPG yaani Point Per Game anayo 1.57 katika enzi za Roman wa kwanza ni Avram Grant ana 2.67 na wa pili kutoka mwisho ni Boas ana 1.70
  • Tukumbuke pia kuwa Lampard ndie mfungaji mwenye mabao mengi kwa nyakati zote hapo darajani
  • Lampard alikuwa kipenzi cha Roman nafikiri kuliko makocha wote waliowahi kuifundisha Chelsea
  • Lampard ndie kocha pekee ambaye Roman anamuheshimu sana
  • Lampard ndie Kocha pekee ambaye Roman amemtolea maelezo ya kufukuzwa kwake, wengine wote baada ya kutimuliwa tajiri alinyamaza kimya
Kauli ya Roman baada ya kumfukuza Lampard
Abramovich said: "This was a very difficult decision for the club, not least because I have an excellent personal relationship with Frank and I have the utmost respect for him.
"He is a man of great integrity and has the highest of work ethics. However, under current circumstances we believe it is best to change managers.

"On behalf of everyone at the club, the board and personally, I would like to thank Frank for his work as head coach and wish him every success in the future. He is an important icon of this great club and his status here remains undiminished. He will always be warmly welcomed back at Stamford Bridge."

Jamaa atarudi tu, kauli ya mwisho ya Roman
Ndio maana mimi nasema Lampard hajafukuzwa ila kapelekwa mkopo ili akajinoe
 
Kama nawaona manyumbu,livakuku na arsenyeto leo wanavyosubiri mtanange wa chelsea kwa hamu. Kwenye vibanda umiza siti za mbele. Jamani ndugu zetu wanateseka hawa.
 
Basi bwana mwaka 2009 chelsea ilikutana na Barcelona kwenye nusu fainali. First leg ilipigwa Camp Nou na kutoka bila bila hii second leg ikaenda kupigwa darajani.

Refa wa hii game alikua Ovrebo.

Game ikaanza chelsea wakapata chuma cha kwanza. Mambo yakaenda vizuri kisha hali ya hewa ikaanza kubadilika.

Alves akamkata Malouda ndani ya box. Ovrebo akasema kosa limetokea nje ya box.

Wakina Drogba wakamuwakia ila yule bwana akaweka pamba sikioni akaendelea na maisha mengine.

Replays zikaonyedha ni kweli kosa limetokea nje ya box.

Game ikaendelea.

Drogba akapata chansi ya kwenda kuscore akawa yupo mbele ya Abidal, Abidal amekazana kumtoa Drogba kwenye reli ila Drogba kakaza huko Valdes anawaza shuti litakalotoka hapo. Kufika kwenye boksi Abidal akaona isiwe kesi akamlamba rafu janja Drogba, Drogba chini.

Ovrebo akageuka zake huyooooo.

Drogba kawaka bwana Ovrebo katia pamba masikioni hata hajali.

Replay inaonyesha Drogba alianza kuchezewa rafu tangu nje ya box, body language inamuonyesha akiwa anajiandaa kupiga shuti kabla hajalazwa chini.

Kisha Chelsea ikiwa inaendelea kushambulia wapo langoni kwa Barca Anelka anapiga shuti linazuiwa na mkono wa Baba Shakira.
Anelka hata hajisumbui kumuonyesha refa kwakua ni kosa lililoonwa na kila mtu lakini Ovrebo wala hata hakujigusa akaamuru mchezo uendelee.

Kisha Abidal akagewa red kwa kumchezea rafu Anelka, marudio yanaonyesha Anelka alijikwaa mwenyewe, hata hivyo haina maana kwakua Abidal alitakiwa awe ametoka tangu muda hata hivyo.

Game ikiwa inaelekea ukingoni Iniesta akatia chuma kusawazisha.

Ikawa 1 kwa 1. Wastani kwa hapo ni Barca anasonga mbele.

Chelsea ikapata kona. Ikapigwa kona mchezaji wa chelsea akaachia shuti, Samuel Etoo akalikinga lile shuti likamgonga mkononi. Pembeni yake Etoo alikuepo Ovrebo.

Ila akawa kama hajaona kitu akajigeuza zake na kuondoka. Ballack akaona huu ni upuuzi akamkimbilia Ovrebo na kumkaripia na kuomba na kila kitu ila Ovrebo hajali, muda huo mpira unaendelea.

Game ikaisha. Chelsea ikatolewa.

Ovrebo alikua ameikatalia Chelsea penati nne za wazi.

Pale pale Drogba akamkimbilia Ovrebo, maafisa wakafika kumzuia ila mashabiki wa chelsea wakamuahidi kifo Ovrebo palepale uwanjani.

Drogba akaigeukia kamera akasema "Are you watching this? Its a disgrace. Its a fvcking disgrace"

Maafisa wakamsindikiza nje Ovrebo kwa kuhofia kuuawa usiku huo huo wakambadilishia hoteli na kumtoa nje ya Uingereza kisirisiri.

Akiwa anahojiwa na jarida la Marca, Ovrebo akasema "Chelsea imeanzishwa 2003, ni timu ndogo ilikua inapambana na timu kubwa. Hata wangepata penati 100 bado ningekataa tu"

Anyway, natania. Alisema "Makocha na wachezaji hua na siku ya hovyo na marefa pia hua na siku hatupo sawa. Siwezi kujivunia kilichotokea siku ile"

Baada ya pale Ovrebo alikatwa kwenye orodha ya marefa wa waliotakiwa kwenye tournaments. Baadaye akaja kutangaza amestaafu.
 
Daah ulivyoahadithia mkuu kama Niko kwenye kioo, niliiona hii game
 
XI vs wolves
Mendy
Azpl rudiger silva chilwel
Jorginho kovacic
Ziyech kai cho
Giroud
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom