Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watatu hawa kumridhi Lampard, Mazungumzo ya kumtimua yameanza
Madai ni kwamba Lampard kapewa muda na hakuna hata dalili za mbinu zake kuleta matunda yeyote pale darajani

  1. Tuchel - Katika timu kubwa alishaifundisha Dotmund miaka miwili na PSG miaka miwili na nusu ligi ya wakulima wining %age ni 74 akiwa PSG
  2. Allegri amefundisha muda mrefu vitimu vidogo, Juve kifundisha miaka 5 na wining %age ya 70% akiwa Juve
  3. Avram Grant - Hana uzoefu wowote zaidi ya kuifundisha Chelsea 2007/8 na Westham 2010/11. Hakutoka Chelsea vizuri kwani wachezaji hawakumpenda kwa sababu ufundishaji wake ni wa kizamani mno miaka 25 iliyopita na hakuwa na mbinu zozote za kisasa kwa wakati huo wa 2007/8. Sasa tuko 2021, si atakuja na mbinu za miaka 40 iliyopita?
Kasoro za Tuchel,
Kwanza katoka ligi ndogo isiyo na ushindani
Hajawahi kuwa na exposure kama ya akina PEP, MOU, KLOP na makocha wengine
Hajawahi kufundisha timu muda mrefu na ni mbishi
Hana mfumo maalumu na kwa hiyo ni rahisi kuwachanganya wachezaji na management
 
Ubovu wake Ni up?
Hana mfumo maalumu,
Hawezi BIG games, Akiwa Dotmund na baadaye PSG
PSG ni uwezo binafsi ya akina Neyman, Mbape na Dimaria ndio ilimfunika
Kumbuka UEFA nafikiri mwaka jana alifungwa na academy wa Man U
Ni kocha asiyejali hata akipata matokeo mabaya
Hatakawia kugombana na wachezaji

Kwa hiyo anaweza akatufaa msimu huu tu kugombea top 4 ila msimu ujao kiberiti chake kitakuwa kimeshajaa
 
Sari alikuwa Hana hata kombe la m buzi lakini kaja kupata kombe kubwa Chelsea kitu ambacho nakipenda kwa Thomas Tuchel Ni kocha mzuri kimbinu na ndio tunachokitaka na wachezaji wa maana mbona kombe atapata.
 
Poor Lampard. Alipokuwa anafurahia pochi kubwa ya bil 220 alifikiri haitamtokea puani?
 
Hana mfumo maalumu,
Hawezi BIG games, Akiwa Dotmund na baadaye PSG
PSG ni uwezo binafsi ya akina Neyman, Mbape na Dimaria ndio ilimfunika
Kumbuka UEFA nafikiri mwaka jana alifungwa na academy wa Man U
Ni kocha asiyejali hata akipata matokeo mabaya
Hatakawia kugombana na wachezaji

Kwa hiyo anaweza akatufaa msimu huu tu kugombea top 4 ila msimu ujao kiberiti chake kitakuwa kimeshajaa
Unavyosema anabebwa na wachezaji labda uangalii mpira vizuri zaidi ya kuwaangalia Neymar, Mbappe na Di maria.Jambo la pili unavyosema hawezi against big team uoneshe kacheza big team ngapi na matokeo kapataje?
 
Sari alikuwa Hana hata kombe la m buzi lakini kaja kupata kombe kubwa Chelsea kitu ambacho nakipenda kwa Thomas Tuchel Ni kocha mzuri kimbinu na ndio tunachokitaka na wachezaji wa maana mbona kombe atapata.
Kwani Sari alifanya vizuri na booring football yake
 
Unavyosema anabebwa na wachezaji labda uangalii mpira vizuri zaidi ya kuwaangalia Neymar, Mbappe na Di maria.Jambo la pili unavyosema hawezi against big team uoneshe kacheza big team ngapi na matokeo kapataje?
Alifukuzw PSG ikiwa ya Tatu na haijawahi kutokea ni kwake tu
 
CHELSEA FC TUTAWEZANA NA TUCHEL?

Pamoja na Tuchel inasemekana ni kocha mzuri sana mwenye mbinu mchanganyiko zinazofanana kiasi kidogo na Klopp na Pep, jamaa amekuwa akishindwana na waajiri wake na kupelekea kufukuzwa:-

1. Sifa kuu za huyu jamaa ni MTATA na MKAIDI hataki kuingiliwa majukumu yake haswa kwenye swala la usajili, huwa anataka kuletewa wachezaji anaowahitaji na sio bodi inaowahitaji.

Tujikumbushe case yetu na kocha CONTE alivyosuguana na management kuhusu swala la usajili alimtaka Lukaku management ikamletea Morata.

CONTE alitaka kuhusika moja kwa moja katika swala la usajili Chelsea, matokeo yake ilikuwa mvurugano na akatupiwa virago nje.

TUCHEL na CONTE ni mapacha kwa aina ya tabia zao za UKAIDI, UJEURI, UTATA

Je Chelsea tutawezana na TUCHEL? Majibu tutayapata akianza kandarasi yake, ila ni bonge la Kocha.

View attachment 1686082
Hili lijamaa si lilifeli psg? Ndo limekuja Darajani? Hivi mgt ya Chelsea inaongozwa na nani??
 
"IN FRANK WE TRUST - Then. Now. Forever." Hiyo ni banner mpya iliyowekwa pale Darajani na kuonekana katika mchezo dhidi ya Luton. Watu mbalimbali wanaamini kuwa Lampard hakupaswa kufukuzwa mapema namna hii, ata boss mwenyewe kasema ulikuwa ni uamuzi mgumu mno.

Binafsi nilipenda sana hili jambo litokee, unajua baada ya kupata taarifa hizi sikuamini kabisa toka kwa mtu alie niambia. Ila baada ya kudhibitisha kuwa ni kweli ghafla nilimuonea huruma Lampard hii huenda ni kutokana na u legend wake.

Naam ni dhahiri kuwa Lampard ilipaswa afukuzwe, ila kitendo cha kumleta Thomas Tuchel kuchukua nafasi ya Lampard ni kuonyesha kuwa Chelsea wanakurupuka sana. Niseme hapa hapa mapema kabisa ili kwa baadae msije mkasema Chelsea ina plastiki fans, huyu Tuchel HAFAI kuifundisha Chelsea. Hakuna kocha mle ni utopolo kabisa.

Kocha anaetufaa kwa soka la sasa ni Julian Nagelsmann, huyu Nagelsmann ni kocha sahihi hasa kwa soka la kileo. Japo kuna taarifa kuwa hapatikani kwa sasa mpaka mwishoni mwa msimu huu, kama hizo taarifa ni kweli basi Lampard asingefukuzwa mpka mwisho wa msimu kicha akachukuliwa Nagelsmann. Real Madrid nao naona wanamtaka huyo kocha.

Ila hapa kwa Tuchel hakuna kitu kabisa
 
Alifukuzw PSG ikiwa ya Tatu na haijawahi kutokea ni kwake tu
Wewe labda PSG uiyangalii vizuri pale PSG ukiwatowa Mbappe, Neymar na Di Maria inabaki utopolo mtupu hawana kiungo mbunifu wa kiwango Cha dunia,kiungo mkabaji hawana na ndio maana Tuchel akamtoa marquinho nafasi ya beki akampeleka centre half beki wa kulia Ni ovyo sawa na left beki nae ovyo ukiwatoa Thiago Silva hawana Tena centre defender ambaye atacheza sambamba na kimpembe
 
Sa thiago si yupo Chelsea tayari
 
Sababu ya kufukuzwa kuu ...hata huku juu kuna mtu kashaelezea ni all fallout na management zake.ktk club alizokuwepo..za bvb na psg case ni hizohizo lkn Hilo la kuwa wa 3 sio Sababu mkuu
 
Jamaa kashatua LONDON, muda wowote tutatangaziwa
Line up ya Tuchel

4-2-3-1

Werner

Pulisic ------------ Havertz ----------- Ziyech

-----------------Kovacic ------ Kante----------------

Chilwell --- Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

AU

4-3-3

Pulisic ------------ Havertz ----------- Ziyech

Kovacic ------ Kante ------ Mount

Chilwell --- Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

AU
3-5-2

Tammy ---- Werner

Chilwell ------ Kovacic ------ Kante ------ Mount --- -James

Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

AU

3-4-3

Pulisic ------------ Havertz ----------- Ziyech

Chilwell ----- Kovacic ------ Kante ------ James

Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------

Au
4-1-4-1

-------------------------- Werner------------------------

Pulisic ----- Mount ------Ziyech ------ James

---------------------------Kante ------------------------

Chilwell ----Silva ----- Rudiger ---- Azpilicueta

----------------------------Mendy-----------------------------
 
Wewe labda PSG uiyangalii vizuri pale PSG ukiwatowa Mbappe, Neymar na Di Maria inabaki utopolo mtupu hawana kiungo mbunifu wa kiwango Cha dunia,kiungo mkabaji hawana na ndio maana Tuchel akamtoa marquinho nafasi ya beki akampeleka centre half beki wa kulia Ni ovyo sawa na left beki nae ovyo ukiwatoa Thiago Silva hawana Tena centre defender ambaye atacheza sambamba na kimpembe
Hahaha chief unataka kusema Kehler siyo CB?

Veratti?

Kingine mchezaji kuhamishwa nafasi siyo jambo la ajabu. Kimmich ni beki ila siku hizi anacheza DMF na ana assissts nyingi kuliko Bruno Fernandes.

Kudai PSG haina wachezaji kwa hoja unazotoa haupo sahihi hata kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom