Frank lampard ni moja katika ya makocha wazuri sana, yupo na
Vision, systematic, intellectual, skills bila kusahau ability
Anajenga timu ambayo naiona itakua tishio sana, trust the process.
Pengine anaweza kujenga timu tishio zaidi ya hii Liverpool ambayo klop alipambana zaidi ya miaka mitatu
Maandazi ya buza au majowe hawawezi kuelewa.
Pep guardiola msimu wake wa kwanza aliharibu sana
Arteta amedakia katika katika ya msimu. Na amefanya maajabu and still he doing fine.
Huyu ni special case tumuacheni kama alivyo
Lazima lampard apewe muda, kufanya kitu. Timu haijengwi kama nyumba kwamba kupandisha tofali tu
Mashabiki wa Chelsea mnatia aibu sana kuanzia matokeo yenu hadi jinsi mnavyofikiria




Eti "lampard atuachie timu" nyie wapuuzi mnachangia nini kwenye club??
Mwingine elimu ya msingi alimaliza kwa nguvu za viboko, et hapa nae anakosoa taaruma ya Frank


Kushabiki Chelsea kuungana na mashabik hawa nayo ni aina nyinge ya kujidhalilisha tu