Burnsley kama sijakoseaNext round tuko na nani FA?
Huyu Ni mpuuziKumbe tunasindikizaView attachment 1685565View attachment 1685566
Hangaika na timu yako arsenyeto mkuuKwaio tunakubaliana lampard anapewa muda
Sasa ole wake nisike kuna mbuzi zinapayuka payuka humu.
#LampardApeweMuda
Taarifa kutoka kwa Matt-Law na zinazozagaa twitter mida hii zinasema Frank Lampard atafukuzwa kazi leo hii.
Vile vile wachezaji wameambiwa leo hii wasireport mazoezini
Hii habari naona itawarudisha baadhi ya member humu jf