Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki wa chelsea wana dharauuuuuu hawa sina hamu. Nilishawahi kuulizwa humu kwani huto tu picha sh ngap kisa nilikataa kuweka GIf ya demba kuifunga man u ucl

Anyway magoli ya leo yapo jukwaa la city mkuu,ninayaweka muda huu
Numbisa popote ulipo, tunahitaji zile gifs zako. Hiki ni kitengo Chako Cha kudumu hapa jf.

Hahahhahahahahahhah
 
Reporter: say something boss
Lampard: nipewe muda
IMG-20201228-WA0017.jpg
 
Mambo ya ushabiki wa mpira kuna wakati yanakuwa ya kuchekesha sana.

Timu ikikaa vizuri mtu unaisifu hasa, na unaona kama haitakaa ibadilike.

Ikija kubadilika, unatukana kila tusi.

Nakumbuka juzi juzi tu, hata mwezi haujaisha, humu watu walijigamba mpaka kufikia kusema hata wakipangiwa na Bayern wanashinda.

Leo hii baada ya vipigo vya Everton, Wolves, Arsenal na Man City mambo yamebadilika sana, sasa tunaanza kuona hata top 4 ni mlima.
 
Ukitaka kujua Chelsea lampard hajui cheki game ijayo utaona utaona kai na odoi ndio itakuwa selection yake ya kwanza yaaan kocha dhaifu kam nni bhana
 
Mashabiki wa chelsea wana dharauuuuuu hawa sina hamu. Nilishawahi kuulizwa humu kwani huto tu picha sh ngap kisa nilikataa kuweka GIf ya demba kuifunga man u ucl

Anyway magoli ya leo yapo jukwaa la city mkuu,ninayaweka muda huu

Numbisa, tuzo ya Sports-Lady of The Year wa JF inakustahili, napenda jinsi ulivyojiwekea utaratibu ili usiwakwaze washabiki wa timu husika.

Najaribu ku-imagine siku ile tunafungwa goli 7 ungezileta kwenye jukwaa letu!

All the best madam.
 
Thank you Don

Nayafahamu machungu ya kufungwa na kuoga mvua za matusi ya kujitakia hapana kwa kweli. Kila timu ifurahie ushindi wake

Nikiona hata droo hakuna anayeifurahia napotezea pia.

Safi sana, hiyo inaonesha unavyojali hisia za washabiki hata kama ni wa timu pinzani.

Ningekuwa mimi nahisi ningeleta magoli ya kufungwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom