Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,165
- 5,621
Wazee wa lawama hao. Kocha kapanga timu nzuri tumezidiwa mbinu za kimchezo katikati ya kipindi cha kwanza. Na wenzetu wamefanya conversation ya mistakes into goals.Acheni visingizio kwahyo Giroud na Abraham ni wazur kuliko Ziyech na Werner??

