mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,093
- 4,912
It's time 4 Chelsea management to over look the potential of Frank Lampard , despite of his repotation as a legendI said it, the rain is increasing its intensity
It's time 4 Chelsea management to over look the potential of Frank Lampard , despite of his repotation as a legendI said it, the rain is increasing its intensity
Sisi tunapita tuCity wamepanga kikosi dhaifu kutokana na janga la corona Laporte, Edson, Torres, Jesus, Mendy hawapo. Hakika tutamfunga goli za kutosha.
Dah, kweli maisha mzunguko.Na bado nasema na badooooo next week tunakuwa points sawa
Leo yupo usijaliTangu Ziyech aumie tumecheza mechi 5 na kushinda moja tu



It's time 4 Chelsea management to over look the potential of Frank Lampard , despite of his repotation as a legend
kwa kweli msubirie game iisheTuanze kuwakera au tusubiri mechi iishe..title pretenders![]()
Hahahah, huwezi Amini niliandika hii statement baada ya goli la pili, ila nikafuta kwasababu niliona imekaa kibaguzi sanaMENDY NI KEPA MWEUSI![]()
Jamani lampard anajielewa kweli yaani kawaacha akina abraham, joginyo na Giroud wako nje kweli...???Pale unapoangalia movie nzuri ya kusisimua ghafla inajeuka kuwa ya mazombie.
It's high time now??????
Hakuna ubaguzi hapo mkuu kwan si kwel kuwa wapo different in colourHahahah, huwezi Amini niliandika hii statement baada ya goli la pili, ila nikafuta kwasababu niliona imekaa kibaguzi sana
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Msiba utatudodea, maana huwezi muona mfiwa hapa.Tuwasikilize wenye msiba
Jamani lampard anajielewa kweli yaani kawaacha akina abraham, joginyo na Giroud wako nje kweli...???