Utuborastan
Member
- Feb 16, 2020
- 24
- 94
City dhaifu wamemaliza hii game kipindi cha kwanza sikutegemea..
Halafu na yeye anajiita timu kubwa
Leo ni mauaji ya kimbari.
Udhamini umekamilika hukoYaani now arsenal tumemzidi point 3 tu. Tukipigwa leo yeye akija kushinda sijui tutaongea nini.
Duh,uchawi upoStatistically hata nyinyi leo mnaweza kushinda. Ila mtafungwa mkicheza 4 3 3
Duuuh binadamu sio watu kwa kweliChelsea mnalisakata kabumbu kinoma asee. Naona Man City wanautafuta kwa tochi!!! CHELSEA PIGA HAO CITY HADI WAKOME!!!!![emoji1]
Sasa kama mchezaji hana morali unadhani ni nani anatakiwa airudishe kama sio huyo lampard?Matatizo ya timu yangu ni zaidi ya Lampard. Wachezaji hawana morali, confidence, hawajitumi kabisa. Full mauzembe.
Fununu za usajili zinasema Chelsea inamfukuzia Donnaruma. Yaani ikimsajili itakua na makipa wawili ambao kiwango chao kinawaruhusu kua first team.
Nafasi ya ukipa hadi umpiku mwenzako ni ngumu sana. Martinez akaona bora aende Villa ili awe kikosi cha kwanza, Mendy alikubali kuja chelsea akijua wazi anakua kikosi cha kwanza.
Donnaruma hawezi kuja kama hatohakikishiwa kuanza. Au labda recruitment ya chelsea ina mpango wa kumtimua mendy.
So chelsea itakua na mendy, kepa, cech na donnaruma kwenye benchi