Dah. Umezeeka tayariYup. Smart phone kwa wazee shida 🤣



Kipindi cha kwanza sijaangalia, ila najua mistakes ni kutokana na no motivation kwa wachezaji, kucheza legelege. Nimeona second half akina Kante na Kovacic walikuwa na makosa ya kijinga kama walikuwa hivyo first half tulistahili kufungwa. Werner kazoea kucheza kama wide winger, no 9 hajazoea na hivyo kutokaa kwenye position. ANgekuwa hapo Tammy au Giroud magoli yangeingiaWazee wa lawama hao. Kocha kapanga timu nzuri tumezidiwa mbinu za kimchezo katikati ya kipindi cha kwanza. Na wenzetu wamefanya conversation ya mistakes into goals.
Sasa nimeamini tatizo sio wachezaji, hata akina Werner na Havertz kudorora, tatizo ni uwezo wa kocha. Lampard aliwahishwa EPL mno, angebaki kwanza Championship ili apate uzoefu huko
Hii picha ni ya kutengenezahivi kocha ananenepaje hivi na timu haina matokeo
Ila mnacheza soka la kuvutia sana au nasema uongo ndugu yangu?

we jmaa unafaa kuwa mwandishi wa habariHaha Kwanini Boss?we jmaa unafaa kuwa mwandishi wa habari
Haha, Relief Mirzska nimesafiri bradhee..!!