Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijawahigi kutegemea kama kuna siku moja chelsea itafungwa nikafurahi, dah! Maisha yanenda kasi sanaaa.
Nimefurahi sana kwa kipigo, na tupgwe tu mana hamna namna, na tutapgwa tu. mpk Roman akili imkae sawa.
 
88177486_2567211536932904_5051326090685972480_n.jpg
 
Yaani chelsea kadri anavyozidi kucheza ndivyo anavyozidi kupoteza ubora wao ni kheri kuangalia matokeo kwenye LiveScore kuliko kuangalia kwenye vibanda umiza
 
Arsenal alivyoifunga chelsea lampard alisema inatokana na uvivu wa wachezaji na siyo kwamba mbinu zake ni mbovu au mfumo ni mbovu.

Jana amesema kwamba wachezaji aliowasajili hawajazoea ligi hawajafanya pre season ndiyo maana hawaperform vizuri. Huu utetezi alikua anautumia sana ole.

Amesema pia yeye hua na presha timu ikiwa vizuri au vibaya mashabiki ndiyo mapepe as wao ndiyo walikua wanauliza ni lini atagewa mkataba mpya Ila siku hizi wanaongea kinyume na huo ndiyo mpira.

Lampard amekumbushia games 16 bila kufungwa kila alipoulizwa uongozi unasemaje au juu ya ubutu wa kikosi chake. Ukiona kocha anaanza kuishi historia ujue kiama chaja mashabiki walipomzomea mourinho aliwaonyesha vidole vitatu kuashiria makombe aliyowahi kuwapa.

Hakuchukua muda mkubwa akatimuliwa.
 
Nilishasema tunakuja kuvunja daraja


Sis City hata Kama kuna korona

Kufungwa na chelsea ni big no
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom