Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lampard anaendekeza mapenzi kwa mzawa mwenzie Mason Mount,huyo dogo uwe mbishi wa kutupwa kusema kwamba anaweza kumuweka benchi Jorginho
 
Tatizo siku tukishinda huwa mnapotea kama barafu juani. 🤣
 
Mendy
Ziyech
Werner


Hawa wote tumepigwa



Mpumbavu kai

Huyu tumebutuliwa kmmk
 
A full strength Chelsea team? What would the score be if Man City were at full strength? Whatever will Abramovich do now? Watch out Lamps.
 
Itabidi management ya Chelsea ichukue maamuzi magumu kwa siku ya leo baada ya mechi kuisha. Lampard atolewe mapema sana akajipange.
Kabla ya mambo hayajawa mabaya panga ipite kwake haraka kwa faida ya timu.

Kuanzia kesho Lampard siyo kocha wa Chelsea. Timu haioneshi jitihada ya kutumia makosa ya timu pinzani kupata matokeo...ni ujinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom