Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,283
Kwani nimechanganyikiwa kidogo?Wasapu weeeee.
Unajifanya ushachanganyikiwa??
Kwani nimechanganyikiwa kidogo?Wasapu weeeee.
Unajifanya ushachanganyikiwa??
Hii ni coz ya injury, hata kabla ya mech alikuwa yuko 50/50
Hivi mnajua kila mkijaribu kupapatua ndio hali inakuwa mbaya zaidi?? Si Bora mtulie tuKwani nimechanganyikiwa kidogo?








Alibet hela ya mboga😂😂
Mtoe Man U hapo.Hajawahi kuwa kibonde wenu,haka kaushindi kasiwape mihemko ya kijinga.Msikasirike tangu juzi nawaambia Arsenal tuna vibonde viwili tu man u na chelsea wengine wote wanaweza kututoroka ila siyo hawa.
Southern Highland nilimwambia kuna vyuma vitatu leo. Na vimekua.
We si ndio unateteaga kila kitu, tetea na huo utumbo wa kocha wako. Kocha hana mbinu. Nimefurahi sana tumefungwa na bado dozi nyingine kutoka kwa Grealish.Tumekalia kupiga cross tu, hatuna njia nyingine ya kutafuta goal
Kushinda game za top 6 itakuwa ngumu sana
Tukana unavyotaka ila mimi Castr ninasema Arsenal ana vibonde viwili man u na chelsea.Mtoe Man U hapo.Hajawahi kuwa kibonde wenu,haka kaushindi kasiwape mihemko ya kijinga.