Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani wadau

Kai hasara
Pulisic injury prone
Werner hapaeleweki
Tiago silva ni yeye kwa yeye
Mendy pazia la gesti

Tutaelewana tu. Kidogo kidogo

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi niliwahi kusema Chelsea ina plastic kibao. Kuna mmoja alikua uzi wa liva anatukana watu walipopigwa goli moja akayeyuka juu kwa juu na huku wote wamepotea.

Wametususia maiti.

Chelsea ina plastic fans tu. Mwingine juzi anasema eti level yao kubwa wapinzani wa chelsea ni Madrid, Barcelona na Bayern. Leo anasema hua wanashinda kwa kubahatisha.

Hii timu ina mashabiki wanaoamini utatuzi ni usajili tu. Wiki nyuma mtu anakuambia wana kikosi kipana (na no kweli) leo anasema inabidi wasajili winger. Unabaki unashangaa "Huyu anaelewa nini juu ya kikosi kipana?" Hapo hapo anasema mfumo (yaani 4 3 3) imewaangusha wakati huu mfumo wametumia mara nyingi na wameshinda.
Hii timu ina washabiki vitoto vingi sanaa mkuu tena ni hiv vitoto vinavyo vaa vipensi na soksi .
 
Hapa upo sawa kabisa. Makocha hawana uzoefu wanaishia kutegemea ubora wa wachezaji.

Injuries za Liverpool, Klop anakupangia mchezaji yoyote still timu inashinda kwa mbinu zake. Sisi tunawakosa wachezaji wawili tuu kikosini timu haipati matokeo.

Lampard atengeneze mfumo wa ubingwa ambao kila mchezaji atakayepangwa anadeliver kilicho bora
Unategemea liva leo hii aumie salah na mane kwa wakati mmoja unategemea watapata matokeo????????
 
Jna tumepoteza kwa uzembe wa MENDY MAKOSA KAMA HAYO ALIFANYA MECHI YA LEEDS TENA KAFANYA GAME YA EVERTON ANAONEKANA KAM HAWAMIN BEKI ZAKE cyo kwamba nasema kipa mbaya no ni mzuri atulize mapepe
 
4-2-3-1 sio formation inayoendana na wachezaji wengi tulionao hasa katikati. Hii formation inabidi kuwa na DM wawili na CAM mmoja. Mount kacheza kama CAM na Havertz kama winga wa kulia kitu ambacho Havertz hawezi cheza vizuri. Kante na Kovacic hawawezi kukaba kwa pamoja
Ilibidi tucheze na mount,kai na kovacic kwa wakati mmoja,
Kutokana na hali jins ilivyo kwa sasa

Ingekuwa pulisic yupo ,kai alikuwa anaanzia bench au hata odoi angekuwepo
 
Ilibidi tucheze na mount,kai na kovacic kwa wakati mmoja,
Kutokana na hali jins ilivyo kwa sasa

Ingekuwa pulisic yupo ,kai alikuwa anaanzia bench au hata odoi angekuwepo
Inaweza kuwa jana formation ni ile ile ya 433 lakini Kai kucheza winga hawezi bora angemuweka Mount kule anamudu nafasi nyingi Au angemuweka Timo kulia na yule dogo Faustino Anjorin winga wa kushoto
 
Kuna 433 ya klop
Kuna 433 ya Pep
Kuna 433 ya Lampard

Huu ni mfumo mmoja ila mbinu za kiuchezaji ziko tofauti kabisa. Hapa ndio ubora wa makocha na wachezaji unatofautiana.
Ila kuna variants nyingi za 433, usione kwa kuandikwa zinafanana lakini kwa kuwapanga wachezaji inatofautiana sana
 
Ila Mkuu mwanzoni mwa msimu nilisema tuongeze usajili wa winga mmoja Odoi hawezi kuwa sub ya both Ziyech na Pulisic, mkabisha kwamba Werner atacheza winga.

Narudia tena kusema hawa Ziyech na Pulisic sio wa kuwategemea kucheza mechi nyingi ni prone to injuries, pale ambapo tutawahitaji uwepo wao ndio hapo watakuwa vitandani.

Ikiwezekana tufanye usajili wa hizi nafasi sub za kusaidiana na hawa jamaa kama kweli tunataka makombe.
No creativity kabisa, hadi kuna wakati Zouma ndio alitaka kufanya mashambulizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom