Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bob vibonde hubahatisha pia. Kwani umeona timu ndogo ngapi zinapata goli nyingi kwa timu kubwa? Dortmund katoka kufungwa tano na nani?
Pamoja na hayo ushawekewa record na kibonde tayari unamjua, ni yule yule aliefungwa 8-2
 
Toka nusu ya msimu uliopita umeona Lampard kaimprove nini ? Mara ngapi kafanya sub zenye +ve impacts, mara ngapi kafanya tactic switch kucounter ubora wa mpinzani? Yaani kuna mechi siikumbuki vizuri aliulizwa kwa nini Pulisic ulimuamisha upande mwingine jibu eti I was trying something different yaani bado anafanya experiments kwenye project za kusaka ubingwa
Chini ya lampard blues wameingia top4, na kafanikiwa kuingia 2nd round UEFA

Kujenga timu ni process mkuu
 
Kumbe nabishana na mtu usie na record, kwa kifupi wewe ni shabiki uchwara(maandazi).

Man u kashinda uefa champions 2008. Arsenal unbeaten season ni 2003/2004. Sasa tukio lipi ni la zamani wewe shabiki uchwara(maandazi)?
Uko sawa kabisa kwamba tukio la Arsenal ni la zamani.

Timu gani nyingine uingereza imechukua uefa baada ya man u kuchukua?

Timu gani nyingine duniani imechukua ligi bila kufungwa?
 
Acha kuvuta bangi mbichi, Red Devil hajawahi kuwa kibonde kwa Ars8, hata bikra ya unbeaten United ndio alikuvunja..
Meku una malani mengi kuliko hata kumbukumbu.

Ukweli ndiyo huo. Arsenal ina vibonde viwili na unavijua
 
Chini ya lampard blues wameingia top4, na kafanikiwa kuingia 2nd round UEFA

Kujenga timu ni process mkuu
Kuingia top 4 yenyewe ni juhudi za wachezaji, na mungu tu alikua upande wetu. Halafu huko UEFA bora tungetoka tu twende kwa vibonde EUROPA mana UEFA tutatolewa tu, na mungu atusaidie tusitolewe kwa idadi kubwa ya magoli. hatuchelewi kuweka record mbaya.
 
Uko sawa kabisa kwamba tukio la Arsenal ni la zamani.

Timu gani nyingine uingereza imechukua uefa baada ya man u kuchukua?

Timu gani nyingine duniani imechukua ligi bila kufungwa?
Umewekewa record umekuwa mpole, safi! Ulitakiwa tangu mwanzo uwe hivi na sio kuropoka kwa vitu ambavyo huna ushahidi huo tunaita ushabiki maandazi.

Baada ya man u ni chelsea (2012) na liverpool (2019). Timu zilizochukua ligi duniani kwa unbeaten zipo nyingi tu kama Ajax 1994/1996, celtic 2016/2017, Juventus 2011/2012, n.k
 
Kwahiyo uingereza hakuna mwingine aliyechukua ligi bila kupoteza mechi?

Bob usiniambie nilitakiwa kuaje ulianza na matusi now slowly tutaelewana.
 
Kuingia top 4 yenyewe ni juhudi za wachezaji, na mungu tu alikua upande wetu. Halafu huko UEFA bora tungetoka tu twende kwa vibonde EUROPA mana UEFA tutatolewa tu, na mungu atusaidie tusitolewe kwa idadi kubwa ya magoli. hatuchelewi kuweka record mbaya.
Chini ya Lampard Bayern hakuwageuza kapu la mabao kama ilivyokua mechi iliyopita.
 
Hongereni. Kocha katuuza. Hii mechi haiku ngumu hivi.
James hakpaswa kucheza. Hayuko fiti bado.
Giroud alipaswa kuanza. Tammy kakosa magoli menig kama kawaida yake
Kovacic alipaswa kupumzika kabla ya nusu ya mchezo
Jorginho siyo mpiga penati. Kocha anamwonea tu. Awapo Mount au Werner

Alamsiki!
Mkuu naona umetaja mizimu yote ya kwenu
 
Nasema hivi timu kubwa zinakuwa na memory ya kuchukua uefa champions league.Wewe unaongelea jambo la sasa. Kwani hiyo unbeaten yako ni ya sasa? Sasa wewe jivunie hiyo memory ya unbeaten ila timu kubwa zote zinajivunia memory ya usiku wa uefa wakinyanyua makwapa.
Nottingham forest nao ni wakubwa kuliko man city
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom