Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watu wanaomponda Abrahamu hebu wajikumbushe mshambuliaji wa Man U miaka ya zamani kidogo aliyeitwa Van Nestroy(kama sijakoesea uandishi wa jina). Hakuwa na mambo mengi uwanjani alikuwa kama fala vile na unaweza dhani hata uwanjani hayupo lakini ukisikia Man u kafunga ni yeye na aliwabeba sana Man U enzi za Fegie.

Mie binafsi nauona uchezaji wa Abrahamu ukishabihiana na wa huyo nguli wa Man U.

I stand to be corrected. Chelsea oyeeee,
Tammy hajafikia viwango vya Ruud Van Nistelrooy bado. Labda mbeleni ila kwa sasa bado. Jaribu kutafuta video zake in case umesahau. Labda uelekeo wake ni kama wa Filipo Inzaghi hivi akilishwa na akina Andrea Pirlo
 
Hahaha najua mpira haupo ivyo ila huna team ya kumtoa atltco madrid inaongoza lig kwao huk na imepoteza mchezo mmoja kama sikosei ko wapo strong sana.
Atletico mbona msimu huu wako normal sana,, hata kufuzu kwenye kundi lao imebidi wasubiri hadi gemu ya mwisho dhidi ya salzburg
 
Watu wanaomponda Abrahamu hebu wajikumbushe mshambuliaji wa Man U miaka ya zamani kidogo aliyeitwa Van Nestroy(kama sijakoesea uandishi wa jina). Hakuwa na mambo mengi uwanjani alikuwa kama fala vile na unaweza dhani hata uwanjani hayupo lakini ukisikia Man u kafunga ni yeye na aliwabeba sana Man U enzi za Fegie.

Mie binafsi nauona uchezaji wa Abrahamu ukishabihiana na wa huyo nguli wa Man U.

I stand to be corrected. Chelsea oyeeee,
Hivi umeelewa ulichokiandika? Yule ngongoti miaka 100 hawezi kuja kuwa kama Vanstroy.
 
Tammy hajafikia viwango vya Ruud Van Nistelrooy bado. Labda mbeleni ila kwa sasa bado. Jaribu kutafuta video zake in case umesahau. Labda uelekeo wake ni kama wa Filipo Inzaghi hivi akilishwa na akina Andrea Pirlo
Nadhani hukunielewa mkuu sijasema anafikia bali "anashahiana"
 
Check hii uone. Jamaa alikuwa anaweza kufunga kwa kutega na alikuwa anaweza kufunga kwa kuendesha.
 
Tammy anakosa sana Magoli na ile ya kufunga kwa kuwaendesha mabeki bado sana
 
Hivi umeelewa ulichokiandika? Yule ngongoti miaka 100 hawezi kuja kuwa kama Vanstroy.
Tammy bado umri unamruhusu. Ana uwezo wa kufanya vizuri au hata kuwazidi waliotangulia. Itategemeana na juhudi na maarifa
 
Tammy bado umri unamruhusu. Ana uwezo wa kufanya vizuri au hata kuwazidi waliotangulia. Itategemeana na juhudi na maarifa
Kwa tammy sijawah kuona anachopromise kwa kweli, sijui ni kipi mnakiona.mi naona atakuja kuwa wakawaida tu, kw mtu ambaye ukiniambia nikakuelewa labda Glimor, mchezaji unamuona kabisa.
 
Tammy hajafikia viwango vya Ruud Van Nistelrooy bado. Labda mbeleni ila kwa sasa bado. Jaribu kutafuta video zake in case umesahau. Labda uelekeo wake ni kama wa Filipo Inzaghi hivi akilishwa na akina Andrea Pirlo
Tusiende mbali, Drogba mwaka wake wa kwanza na wa pili Chelsea alikuwa akifunga magoli lakini ana makosa debe tena ya kuudhi. Baada ya kuzoea ligi ndio alikuja kutrulia. Nakumbuka tena Drogba alikuwa hawezi kufunga kwa miguu alikuwa akifunga kwa vichwa zaidi ila baada ya kuzoea ligi kwenye mwaka wake wa pili au wa tatu alikuwa kuwa hot cake akifunga kwa miguu na vichwa. Bado naamini Abraham akizoea EPL anaweza asiwe kama Drogba lakini atakuwa akifun ga magoli 20+ kwenye msimu mmoja EPL tu
 
Nadhani hukunielewa mkuu sijasema anafikia bali "anashahiana"
Hakuna mchezaji duniani anafikia kiwango cha mwenzake. Kila mchezaji ana kiwango chake mwenyewe, uchezaji wake mwenyewe na madoido yake mwenye awapo uwanjani. Kitu muhimu ni kuwa Abraham atakuja kuwa mfungaji muhimu Chelsea wabaya wake wapende au wasipende. It is a matter of time
 
Good news
Reece James hatafanyiwa upasuaji na kwa sasa atapumzishwa tu mechi kadhaa kabla ya kurudi kwenye nafasi yake
Wachezaji wote watatu walioko majeruhi (Reece James, Ben Chilwell na Hakim Ziyech) wanaweza kuwa fit kwenye mechi ya Boxing Day na Arsenal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom