Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wanamtaka Haaland

Haaland top priority for Chelsea

Blues eye up Dortmund striker
Erling Haaland is Chelsea's top priority in next summer's transfer window, according to Sky Sport Italia.
The Borussia Dortmund striker has been in excellent form once again for the Bundesliga outfit this season, and continues to burnish his reputation at home and abroad.
But the Leeds-born Norway international is now at the top of Frank Lampard's wishlist, with the striker seen as a must-have by the Blues
Huyu Haaland tunaweza mchukua kama tulivyomnunua Pulisic. Tunalipa pesa januari haland tunamkopesha Dotmund mpaka msimu wa Kiangazi
 
Ila hitaji kubwa la Chelsea sio striker ni mawinger. Werner, Giroud na Tammy wanatosha kwenye kucheza namba 9. Tunahitaji winger mmoja tu wa kusaidiana na akina Ziyech na Pulisic kwa kusaidiana na Odoi
 
Kesho Arsenal anafufuka

Hamtaamini kitakacho wakuta

Nyie mpo mnapost krismass

Arsenal wapo wanaandaa siraha nzito

Maana vipigo vimezidi

Camooon Arsenal

Kesho tunampiga Newcastle

Tunaingia top four

Citizen chairman
Arsenal buana
 
Kesho Arsenal anafufuka

Hamtaamini kitakacho wakuta

Nyie mpo mnapost krismass

Arsenal wapo wanaandaa siraha nzito

Maana vipigo vimezidi

Camooon Arsenal

Kesho tunampiga Newcastle

Tunaingia top four

Citizen chairman
Wee unasemaje wewe? Kwanza uko nafasi ya ngapi?
 
Kwa nini unadhani hivyo mkuu.
Unapomnunua mtu kama haland, nafasi ya timo inakuwa iko mashakani
Na huwezi kumuweka timo bench ukisema acheze pembeni napo ni ngumu huwezi kumuweka full fit ziyech/pulisic nje.

Hiyo sababu inanifanya niamini hili deal haliwezi tokea na sidhan kama board ya tim saiv wanaweza spend 70mil kwa striker mwingine
 
Ila hitaji kubwa la Chelsea sio striker ni mawinger. Werner, Giroud na Tammy wanatosha kwenye kucheza namba 9. Tunahitaji winger mmoja tu wa kusaidiana na akina Ziyech na Pulisic kwa kusaidiana na Odoi
Yule benrahma wakti yupo brentford alikuwa ni back up nzur ya kina ziyech na pulisic
 
Fanyeni hima overhaul isichukue muda mrefu. Mara nyingi inapochukua muda mrefu kumbadilishia kocha mpya kikosi risk ya squad unrest huwa juu ikisababishwa zaidi na expendables wa kocha huyo.

Nadhani hii kitu imewatafuna sana kwenye miaka ya karibuni sanjari na watani wenu Arsenal na pia United. Mmeanza vizuri dirisha lililopita.
Ujue kilichotugharim ni badilisha badilisha ya makocha na kutokuwa na imani na baadhi ya wachezaj especially wale tulionunua na kuwapeleka kwa mkopo na hata waliporudi hawakuaminiwa hicho ndio kilichoturudisha nyuma
Wale wakina salah,cuadrado, kdb endapo wangepewa mda kama jins wanavyopewa wakina mount,reece james leo hii tusingekuwa tunahangaika kufanya overhaul
 
Mkuu timu kubwa kama Chelsea haina muda wa kumsubiri mchezaji azoee. Italeta maumi makubwa kwenye timu. Njia pekee ya kumvumilia mchezaji kwenye klabu kama Chelsea ni kumtoa kwenye mkopo ilapate mechi nyingi akomae. Mchezaji mwingine form yake haipandi kabisa EPL hata ukimsubiri misimu miwili mitatu. Kuna wachezaji wengine wanang'ara tu kwenye ligi ndogo, akija EPL anakufa kabisa. Kuna wachezaji wengine wangebaki Chelsea wasingeng'ara ila kwa sababu walidharauliwa ndio maana wakapambana ili kuoesha kuwa wanaweza. Mmoja wa hao wachezaji ni Mo Salah. Mo Salah alioshawahi kukiri mwanzoni tu baada ya Liverpool kumsajili kuwa aliamua kujituma zaidi awapo uwanjani ili kumuonyesha MOU na Bodi ya Chelsea kuwa anaweza. Tunahitaji kwa ufupi wachezaji wanaopaa kwenye form kama akina Mount, Reece James, Promising Billy Gilmour. Lakini wachezaji kama RLC anaweza kuwa hot cake lakini yuko slow kwenye kupandisha form. asili ya Chelsea inahitaji wachezaji kama akina Ronaldo, Kante, Ziyech, sio hao wanaokua taratibu wakati timu zingine kama akina Liverpool, Man city na wengineo wanakimbia. UKWELI NDIO HUO, tunahitaji wachezaji wanaopaa kwa kukua. Muda mfupi ujao sitashangaa nikiwaona akina Werner, Havertz wakiuzwa Genoa ya Serie A au Monaco ya Ligue 1. Na pia sitashangaa Tammy Abraham akitolewa mkopo Championship. Kocha akiwang'ang'ania ataondoka nao
 
Lakin mkuu unabidi uwape wachezaj nafasi
Kdb alicheza game 3 tu za ligi na katika hizo 3 aliweza kutoa assist (1 assist)

Salah katika msim mmoja na nusu aliokaa aliweza cheza game 13. Ndan ya nusu msimu alicheza 10 gamesa kweny ligi na akacontribut 4 goals (2goals+2assist)
Msim wa 2014-15 aliweza cheza jumla ya dakika 30 katika jumla ya mech 3

Ukiangalia hapo kama wangepewa nafasi ya kucheza mara kwa mara wangeweza kuonesha uwezo wao
 
Salah alikuwa mzuri tatizo alilokumbana nalo Ni kuwa kwenye front three yetu ilikuwa na utatu mtakatifu Hazard Oscar na Willian hao watatu walikuwa kwenye form ya juu si rahisi kwake kuchukua nafasi mtu pekee kwa upande wangu akupewa time ilikuwa KDB japo alionesha performance nzuri lakini kuharibu game 1 tu akauzwa walishindwa kumvumilia at the same to lamptey japo alionesha game nzuri dhidi ya Arsenal baada ya kuingia sub nikashangaa baadae akauzwa mchezaji ana umri mdogo na akaonesha potential Bora hata wangemtoa kwa mkopo angalia Sasa hiv ukimtoa Benchillwel hatuna left back mzuri.
 
Nadhani walikuwepo wenye stats za juu ndio maana hawakupewa nafasi. Kulikuwa na akina Eden Hazard, Willian, Ramires, Oscar, Etoo, Demba Ba, Andre Schurrle, Diego Costa, Torres. Wakati huo akina KDB, Salah, Lukaku walikuwa ni invisible compare na hayo majina makubwa na wengi wao stats za juu. Na ndio maana tulibeba Ndoo ya EPL. Hao wangevumilia mbeleni wangepewa nafasi ila uvumilivu uliwashinda wakaamua kusepa. Ndio kawaida ya football. Hata sisi hao wazuri tuliowapata walisepa kwenye club zao wakaja kwenye green pasture ambayo ni Chelsea
 
Leo kumfunga Arsenal ni lazima hata kama form iko chini. Bunrley na Brighton wakishinda Arsenal itakuwa rasmi kwenye nafasi ya 17. Position moja tu kutoka Relagation zone
 
Salah alikuwa mzuri tatizo alilokumbana nalo Ni kuwa kwenye front three yetu ilikuwa na utatu mtakatifu Hazard Oscar na Willian hao watatu walikuwa kwenye form ya juu si rahisi kwake kuchukua nafasi mtu pekee kwa upande wangu akupewa time ilikuwa KDB japo alionesha performance nzuri lakini kuharibu game 1 tu akauzwa walishindwa kumvumilia at the same to lamptey japo alionesha game nzuri dhidi ya Arsenal baada ya kuingia sub nikashangaa baadae akauzwa mchezaji ana umri mdogo na akaonesha potential Bora hata wangemtoa kwa mkopo angalia Sasa hiv ukimtoa Benchillwel hatuna left back mzuri.
Issue ya lamptey ilikuwa mkataba, dg aligoma kusign mkataba mpya na katika mkataba wake alikuwa amebakiza miez 6
Ilikuwa either aondoke bure au auzwe january
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom