Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji460]️ Youngest players to score 20 PL goals for Chelsea:
23 years & 32 days Eden Hazard
23 years & 80 days TAMMY ABRAHAM
23 years & 127 days Eidur Gudjohnsen
 
Chelsea became the first team to prevent West Ham from scoring in a game since the opening day of this season. In fact, West Ham failed to register a single shot on target against Chelsea.

Our defensive structure looked solid even with 2 new full-backs[emoji119]

#CFC|#CHEWHU
 
Hahaha najua mpira haupo ivyo ila huna team ya kumtoa atltco madrid inaongoza lig kwao huk na imepoteza mchezo mmoja kama sikosei ko wapo strong sana.
OK, ngoja dk 90 ziishe kwanza. Chelsea walishawahi kushinda mechi na Crystal palace ambayo kama nakumbuka vizuri walikuwa na ball possession 25 or less pct. Yaani walishinda goli 3 ingawa walihenyeshwa dk zote 90. Tatizo ni kuwa Crystal palace walishindwa kutumia makosa ya Chelsea ilhali Chelsea ilitumia makosa machache sana kushinda kwa kishindo.

Huo ndio mpira. Kwa hiyo ukiacha hizi mbwembwe na tambo za nje ya uwanja, dk 90 ndiyo haswa hutupa majibu!
 
Kumbe aliyeiwezesha Chelsea kuthibiti madhara ya set pieces sio mwingine bali ni Anthony Barry kutoka Wigan?
 
[emoji12][emoji12]
insta_2469670944030029684.jpeg
 
London is Great, Derby za London zimekuwa nyingi msimu huu.
Haipiti wiki kuna London Derby
 
OK, ngoja dk 90 ziishe kwanza. Chelsea walishawahi kushinda mechi na Crystal palace ambayo kama nakumbuka vizuri walikuwa na ball possession 25 or less pct. Yaani walishinda goli 3 ingawa walihenyeshwa dk zote 90. Tatizo ni kuwa Crystal palace walishindwa kutumia makosa ya Chelsea ilhali Chelsea ilitumia makosa machache sana kushinda kwa kishindo.

Huo ndio mpira. Kwa hiyo ukiacha hizi mbwembwe na tambo za nje ya uwanja, dk 90 ndiyo haswa hutupa majibu!
Mkuu hyo utakuwa unaizungumzia game yetu ya mwanzo kabisa na vs Brighton nafikiri .....Chelsea alishinda 3-1 mpira haukuvutia lkn tukapata matokeo km unavyosema...coz game ya crystal msimu huu tuliwafunga goli 4 na tuliwashika kweli kweli kina zaha...au labda km unamaanisha msimu mwingine na sio huu
 
Hii sio ya juzi, ni miaka kadhaa nyuma huko. Chelsea walielemewa kabisa nikajua leo mvua. Mpira unaisha na ushindi. Mpira sio kabisa wakati mwingine.
 
Watu wanaomponda Abrahamu hebu wajikumbushe mshambuliaji wa Man U miaka ya zamani kidogo aliyeitwa Van Nestroy(kama sijakoesea uandishi wa jina). Hakuwa na mambo mengi uwanjani alikuwa kama fala vile na unaweza dhani hata uwanjani hayupo lakini ukisikia Man u kafunga ni yeye na aliwabeba sana Man U enzi za Fegie.

Mie binafsi nauona uchezaji wa Abrahamu ukishabihiana na wa huyo nguli wa Man U.

I stand to be corrected. Chelsea oyeeee,
 
Mpira wa miguu hauna heshima kabisa, timu mbovu kabisa inaweza ikashinda lakini sio kuchukua kombe la ligi
Umeisahau Chelsea ya akina Drogba. Waliitoa Bayern unexpectedly na wakabeba ndoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom