tumemkata miguu ama nn..!!Chelsea mnaharbu wachezaji
Diego costa
Torres na wengine wang
Sent using Jamii Forums mobile app
tumemkata miguu ama nn..!!Chelsea mnaharbu wachezaji
Diego costa
Torres na wengine wang
Hawa jamaa refa akiwa Anthony Taylor czan km nyumbu itafungwa hyo game....yule aliyechezesha game yao na leedsToka lini Chelsea ikabebwa? Unaweza fananisha na Man Utd inavyobebwa?
ENGLISHMEN with 20+ #PL goals from 2019/20:
: Vardy (122)
: Ings (132)
: Kane (142)
: Calvert-Lewin (161), Sterling (153)
: Rashford (175)
:
ABRAHAM (146*)
. 

We mkuu huwa unaongeaga kiutu uzima na point kabisa. Mashabiki wote wa Chelsea tungekuwa kama wewe jukwaa lingetulia sanaHuenda ikawa ni rotation coz tunacheza tena jumamosi then jumatatu tena tunacheza esp katika kipindi cha mwisho wa christmas ratiba huwa imebana unakuta mda wa kupumzika hamna inabidi tu uwatumie wachezaj wako wengine ili uweze kupata matokeo na wakati huo huo kuzuia injury
Huko nyuma niliwahi kusema Abraham ni in-box striker. Striker wa jinsi hii anategemea sana wapikaji wazuri. Abraha akipikiwa mipira mizuri anajua kumalizia. Tofauti na Giroud ni striker mwenye kufunga zile difficult passes. Kwa hiyo unaweza shangaa Abraham pamoja na uchezaji wake mbovu akafunga magoli mengi kuliko Giroud hata kama wakipewa muda sw. Kitu muhimu tushukuru Mungu Striker wetu wote wako kwenye form nzuri na wanafunga magoli kwa hiyo hatuna shida hata kocha akifanya rotation au subTujiandae kisaikolojia kuhusu Abraham kuanza mechi 5 zijazo sababu kafunga goli 2 dhidi ya Westharm Utd.
NB:
Abraham ni Lingard aliyechangamka tu, japo amefunga goli 2 leo lkn ndiye aliyekuwa anaboa uwajani kuliko wachezaji wote.
Abraham ana nyota ya kufunga lakini hana maujanja kama waliyokuwa nayo Drogba na Costa au Michael Ballack.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Wanaomkataa Abraham wana mawenge, Abraham ni Bonge la mchezaji anae faa kucheza Chelsea.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Magoli yote mawili Abraham amehusika kwenye kutengeneza move hadi kufunga
Mfano goli la pili mpira kutoka kwa Mendy, Abraham akaucheza vizuri kwa kifua kwenda kwa Mount ambaye nay alimpasia Werner na baadaye kwenda kujiposition vizuri kufunga bila ya kuotea. Goli laonekana limefungwa kirahisi lakini angekuwa Timo angeokoa au kumpa kipa aokoe
Goli la pili Abraham kacheza pasi ya kiufundi kwa Pulisic ambaye naye alijenga shambulio vizuri sana kabla hajampa Mount aliyetumbukiza majalo mazuri ambayo kipa kaokoa na kumkuta Abraham mahali sahihi kwa muda sahihi na kufunga bila kutumia jasho
Kwa hiyo kwa Jana Mnyonge wetu Abraham apewe haki yake, kacheza vizuri sana kwenye build-up ya magoli yote mawili
Wanaomkataa Abraham wana mawenge, Abraham ni Bonge la mchezaji anae faa kucheza Chelsea.
Mitano tenaaaaTumwongezee mkataba wa miaka mingapi?