Leo ndio nimejua jinsi gani Lampard ana akili ndogo unamrudishaje Abraham first eleven wakati West ham Wana mabeki wenye nguvuLampard ni bonge moja la taahira
Leo ndio nimejua jinsi gani Lampard ana akili ndogo unamrudishaje Abraham first eleven wakati West ham Wana mabeki wenye nguvuLampard ni bonge moja la taahira
Hujapenda kipenzi chake Mwingereza mwenzake? Super sub OG yupo benchiLampard ni bonge moja la taahira
Ngoja tuone strategy. Inawezekana ana plan. Tutajua dk chache zijazo. Usisahau kuwa yeye ni kocha anaishi na wachezaji. So ni vyema kuacha kuwa emotional mapema. Ngoja tuone game plan.Leo ndio nimejua jinsi gani Lampard ana akili ndogo unamrudishaje Abraham first eleven wakati West ham Wana mabeki wenye nguvu
Endelea kuweka kambi hapa...Kikosi chetu sisi wagonga nyundo.View attachment 1656318
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Subira huvuta khery nipo silali leoEndelea kuweka kambi hapa...






Leo utaijua kazi ya Nyundo.Lampard ni bonge moja la taahira
Hatujali kulia lia kwenu, tupo hapa kutembeza nyundo.Leo ndio nimejua jinsi gani Lampard ana akili ndogo unamrudishaje Abraham first eleven wakati West ham Wana mabeki wenye nguvu
Upo?Piiiga nyundo ya kichwa, mende hawa.