Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea walicheza vizuri kama dakika 20 za mwanzo na dakika kama 10 za mwishoni hapo katikati ilikuwa ni butua butua tu. Westham hawakuwa clinical kwenye umaliziaji.
Timo Werner bado anacheza kama mchezaji wa Championship kwa papara na kubutua. Hata goli la pili haikuwa assist iliyokusudiwa ni ngekewa tu mpira ulimfikia Abraham
Mason Mount ni mchezaji mwenye akili sana na Mabeki leo wametubeba kwa cleansheet

HONGERENI CHELSEA FANS KWA POINT 3 MUHIMU KUELEKEA TOP 4

Leo katikati palikufa kabisa, nafikiri partnership ya Kante na Jorginho inasababisha Kante ahangaike sana.

Huyu Timo ataanza kufunga lini? Imefikia wakati hata akishika mpira washabiki tunajua hafungi!
 
Leo Lampard kadhihirisha kabisa ni 0 kwa mbinu za ushindi sababu ya kubutua utua tu mipira bila ya maelewano/consistency.

Bado Chelsea ina safari ndefu kujenga timu ya ushindani maana Lampard katembelea nyota wala timu haikuwa na mipango yoyote kutengeneza final pass assists kwa wafungaji.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Wazee hongereni sana kwa ushindi, maana mlinisikitisha kufungwa game 2 mfululizo mpaka imeibua kelele mtaani kutoka kwa Man Utd.

Jumamosi chapeni Arsenal, Leicester atajitahidi apate sare kwa Utd. Sisi tukimalizana na Utd nyie ndo mtakuwa namba 2. (Ila kumbukeni kwamba hamjamalizana na City na Leicester round hii).
aseno anatia huruma kweli leo hii anakutana na man city alafu chelsea yani amekuwa jamvi la wageni kila rijali anataka kudumbukia kwenye curve yake
 
Leo katikati palikufa kabisa, nafikiri partnership ya Kante na Jorginho inasababisha Kante ahangaike sana.

Huyu Timo ataanza kufunga lini? Imefikia wakati hata akishika mpira washabiki tunajua hafungi!
Timo anapapara sana kwenye kufunga, asipotulia soon media zitaanza kumwandama

Majamaa wa squawka wanamuhesabia
 
Tujiandae kisaikolojia kuhusu Abraham kuanza mechi 5 zijazo sababu kafunga goli 2 dhidi ya Westharm Utd.

NB:

Abraham ni Lingard aliyechangamka tu, japo amefunga goli 2 leo lkn ndiye aliyekuwa anaboa uwajani kuliko wachezaji wote.

Abraham ana nyota ya kufunga lakini hana maujanja kama waliyokuwa nayo Drogba na Costa au Michael Ballack.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Leo Lampard kadhihirisha kabisa ni 0 kwa mbinu za ushindi sababu ya kubutua utua tu mipira bila ya maelewano/consistency.

Bado Chelsea ina safari ndefu kujenga timu ya ushindani maana Lampard katembelea nyota wala timu haikuwa na mipango yoyote kutengeneza final pass assists kwa wafungaji.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Huenda ikawa ni rotation coz tunacheza tena jumamosi then jumatatu tena tunacheza esp katika kipindi cha mwisho wa christmas ratiba huwa imebana unakuta mda wa kupumzika hamna inabidi tu uwatumie wachezaj wako wengine ili uweze kupata matokeo na wakati huo huo kuzuia injury
 
Kaka ukiiangalia Westharm wamecheza mpira unaoeleweka sana kuliko wa Chelsea, swala si kuwapumzisha wachezaji ila je mfumo uliokuwa unatumiwa ulidhihirika kuonesha nafasi za mwisho za kutengenezwa kwa wafungaji?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Tujiandae kisaikolojia kuhusu Abraham kuanza mechi 5 zijazo sababu kafunga goli 2 dhidi ya Westharm Utd.

NB:

Abraham ni Lingard aliyechangamka tu, japo amefunga goli 2 leo lkn ndiye aliyekuwa anaboa uwajani kuliko wachezaji wote.

Abraham ana nyota ya kufunga lakini hana maujanja kama waliyokuwa nayo Drogba na Costa au Michael Ballack.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Tuangalien na ratiba jinsi ilivyokaa ya wiki hizi wachezaj nao ni binadam na si marobot,
Rotation ni muhimu kwa wachezaji kama unajua uingereza kila ikifika karibia na xmass na mwaka mpya ratiba huwa inabana mnacheza mech nyingi ndani ya mda mfupi
Imagine j1 saa 20:30 tunacheza na arsenal then j3 saa 20:30 tunacheza na aston villa usipofanya rotation unategemea nini

Game zinazofata ni
26/12/2020 vs arsenal
28/12/2020 vs aston villa
 
Kaka ukiiangalia Westharm wamecheza mpira unaoeleweka sana kuliko wa Chelsea, swala si kuwapumzisha wachezaji ila je mfumo uliokuwa unatumiwa ulidhihirika kuonesha nafasi za mwisho za kutengenezwa kwa wafungaji?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Yeah west ham wamecheza mpira mzuri

Siku zote ukiona jorginho ameanza tegemea hiyo game huwa tunazidiwa maana kante huwa anabebeshwa majukum makubwa kwenye kukaba

Baada ya sub ya jorginho na kuanzia dakika ya 75 hiv tulianza kutuliza mpira
 
uyu jamaa tumepigwa
IMG_20201222_091003.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza kuangalia mpira juzi? Mbona kuna scenario complex kuliko hii?
Hahaha najua mpira haupo ivyo ila huna team ya kumtoa atltco madrid inaongoza lig kwao huk na imepoteza mchezo mmoja kama sikosei ko wapo strong sana.
 
Yeah west ham wamecheza mpira mzuri

Siku zote ukiona jorginho ameanza tegemea hiyo game huwa tunazidiwa maana kante huwa anabebeshwa majukum makubwa kwenye kukaba

Baada ya sub ya jorginho na kuanzia dakika ya 75 hiv tulianza kutuliza mpira
So Joginho pia tulipigwa kama kwa Arizabalaga? daaah...! hii dunia hii kweli usipokuwa mjanja mjanja utakuwa fursa kila mahali na kila wakati.

Kama vipi litolewe mkopo au liuzwe 1 kwa 1 ili tusiwe na mautopolo yanayokula bure na kunya bure pale darajani kwa Chelsea

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Wazee hongereni sana kwa ushindi, maana mlinisikitisha kufungwa game 2 mfululizo mpaka imeibua kelele mtaani kutoka kwa Man Utd.

Jumamosi chapeni Arsenal, Leicester atajitahidi apate sare kwa Utd. Sisi tukimalizana na Utd nyie ndo mtakuwa namba 2. (Ila kumbukeni kwamba hamjamalizana na City na Leicester round hii).
Hizo hesabu zako kaweke mkeka uone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom